@SelaSela197@SimbaSCTanzania Sasa mwenyekiti wa kikao cha tar 3 atakua nani kwa mujibu wa katiba? Au unafikili mwenyekiti upande wa mwekezaji anaweza kuongoza kikao cha upande wa wanachama?
@swaintano@SimbaSCTanzania Unataka mwenyekiti anae endana na Bodi au Mwenyekiti anaeifata katiba? Kila mmoja akitimiza matakwa yake kikatiba kuna shida gani?
@DicksonMwa12108@pastajoshuatz@ayubu_madenge Tusubili kuangalia idadi ya team zitakazofuzu 16 bora msimu huu tulinganishe idadi ya zile zilizofizu 16 bora msimu ukiopita hapo tutapata jibu zuri zaidi
@IAmHaule@ngolomole119395 Biashara ilianza kukua,
Unaomba pesa kuongeza mtajie,
Boss anagoma,
Biashara inakufa.
Tunaomba ufafanuzi hapo, kwa nn ilikua inakua vizuri tu, baada ya kunyimwa pesa ikafa!?
@CompellingPower@AbroadTanzania Nimeongelea zaid upande wanachama. Ukipita ktk page nyingi za walio katika mlengo wa CDM utaelewa ninachosema.
Kuna ujinga mwingi wa kuona aliekua CCM hawezi kua CDM sababu alikua mtesi. Point yangu ni kua, ili CDM Ishike Dola inahitaji CCM wengi wajiunge hasa wenye nafasi kubwa
@CompellingPower@AbroadTanzania Ujinga mkubwa kwa wanachadema ni kuamini kua Wana hati miliki ya Kichama peke yao. Yaani hawataki mgeni katika harakati zao, wanasahau ili wafanikiwe wanahitaji wanasiasa kutoka CCM waliowahi kua viongozi wakubwa + wanachama wa kawaida waungane nao, Kama ilivyokua 2015
@rajabismael82@fumbokhanJr@rangimo Venue ilitangazwa kwenye ratiba, viingilio walisema vitatumika vilivyopita.
Nilichotaka kujua ni Kama CAF wangekua na mamlaka ya kuandaa iweje TFF tuone Haina?
@fumbokhanJr@rangimo Ndugu wakati mechi ya Simba na Berkane, CAF wameipeleka mechi Zanzibar, ingetokea Simba amekataa kufanya mandalizi na akaataa kuuza ticket Wala kwenda kucheza Zanzibar. Naomba kujua hatua gani zingechukuliwa, nafikili hizo ndio zitachukuliwa Jumapili
@Articulate____@mbwana_mshindo Ili maendeleo yaje lazima Yanga ikaze msimamo wao, bodi ikaze msimamo wao. Bodi impige adhabu Yanga. Yanga akubali adhabu au akate rufaa kwenye vyombo vya kimichezo ashinde/ashindwe. Uchaguzi ukija viongozi wapigwe chini kwa kura. Baada ya hapo hakuna team itakua juu ya sheria
@Mzungu_pori1@OriginoZee17@SportsarenatzTz Umeambiwa team iliandika barua kuomba wakatwe juu kwa juu na wamemuomba mtaalam wa fedha wa team wakutane kuthibitisha. Wewe unataka uoneshwe barua, hivi unajua kua barua ni nyaraka ya Siri kati ya taasisi na taasisi hurihusiwi kuitoa hadharanj?
@henrylongino1@azamtvtz Kifupi Yanga wajifunze kupigana vita, kwenye vita sio kupigana na Kila mtu Bali kutambua adui yako ni nani.
Hadi Sasa mnapigana na TFF, Bodi ya ligi, Kamati ya waamuzi, Azam, wizara ya michezo, NK
kifupi mnapigana na mamlaka zote za soka nchini na wadau wak, jiulize utashindaje?
@henrylongino1@azamtvtz Hapa ndipo Yanga mnapofeli, mnaamini ukiwa team kubwa unaweza kufanya chochote, angalia Azam sport 1HD muda huu.
Azam ana mkataba na TFF sio team, kwa hiyo ataendelea kurusha matangazo Hadi pale atakapopokea maelekezo kutoka TFF (Mwajili wake)
@henrylongino1@azamtvtz Mkataba wa kurusha matangazo (haki za matangazo ) kwa team zote zinazoshiliki ligi kuu ulisainiwa baina ya TFF na Azam kwa miaka 10 ulisaini kwa 200b+. Na clubs zote zinapata gawio la 500+ Kila mwaka.
Mkataba wa Yanga na Azam haumzuii Azam kutekeleza mkataba wake na TFF