na Ndgu.Peter Oronge katibu wa siasa na Uenezi Ccm (w) igunga Pia Mhe.(Mb) wa jimbo la igunga ambae amesisistiza vijana wa Uvccm kutokutumika kama madaraja ndani ya chama.
Imetolewa na katibu Hamasa na chipukizi Uvccm (w) Igunga.
Cde.William Mashishi.