@GetrudeJ Happy nirthday dadaangu mzuri. Mungu akukuze zaidi na zaidi, akufungulie milango ya baraka na umtumike katika kusudi la kuumbwa kwako kwa utukufu wa More opportunities and More Money .
Unapokuwa na shida na mtu usiende tu dm na kumwambia na shida na wewe nahitaji tuongee nicheck kwenye namba hii,introduce yourself sema shida(ataona kama kuna haja ya kuhamia kwenye simu au yanaishia dm) sio kila mtu yupo tayari kuhamishia watu kwa private life yake.Dunia sio hii
Unatoa fedha kwa wakala, Sh50,000. Serikali wanachukua Sh818. M-Pesa wanachukua Sh2,700. Jumla makato Sh3,518. Hapa kuna kodi mbili katika bidhaa moja. Anakatwa mteja. Wataalam wa kodi wanaita "double taxation". Tafsiri nyembamba ni UNYANG'ANYI. Serikali ya CCM imechoka kufikiri.
Happy New Month. Ni maombi yangu kwamba Mungu akufanyie wepesi kwa kila gumu, afanye jambo jipya ndani yako sawa sawa na Isaya 43;19, akafanye njia jangwani na mito ya maji nyikani. Furaha ianzie moyoni na tabasamu lionekane usoni pako. In JESUS Name I Pray.
@Tigo_TZ Mjitafakari, haiwezekani mtu anaunga bando la internate hata hajatumia muda huo huo ujumbe unakuja bando lako limekwisha, na unaangalia salio kweli unakuta MB 0.
Yesu alipo ambiwa kwamba Herode anakutafuta hakumuombea Herode bali Yesu alisema mwambieni hiyo Mbweha leo na kesho nafanya kazi na siku ya tatu nakamilika. Hatuoni akimuombea. Ndugu @NKIPANGULA jifunze siri hizi.
“Mtafuteni huyo Daktari aliyekimbia Hospitali ya Serikali na hiyo Hospitali binafsi aliyokimbilia, ikiwezekana tunamfungia Daktari, tunaifungia na Hospitali aliyoenda, wakati wa kusomesha hawatuchangii, tukishawasomesha wanakwenda kuwaiba, sio sawa”-JPM,Tabora
#MillardAyoUPDATES
Kama ni kijana mwenye malengo usithibutu, Kuoa mwanamke mwenye mtoto, mwanamke alolelewa na upande mmoja wa mzazi yaan MAMA tu. Usithibutu katu kuoa au kuchumbia mwanamke ambaye ana dada zake wamezalishwa hawakuolewa, Thank me later,
Dont trust a human being to that extent, utaumiza moyo wako bure. Trust only GOD. Halafu ukimsaidia mtu kitu kizuri dont expect any thing good in return. Wewe unasema kumkingia kifu... Yesu mwenyewe alidharauliwa na kuteswa na mpaka kufa na hao hao aliowasaidia. Relax.
Maisha yanaenda kasi sana
Kuna Mdada nilikuwa namchukulia ka dada angu wa damu yani nishagombana na watu kibao kwasababu ya kumkingia kifua leo kuna mtu kanitumia voice note alikuwa somewhere ananiponda balaa! nmebaki nashangaa tu ila moyo umeniuma maana nilikuwa namuamin sana😢