Utachukua hatua ipi inafika 2025 Rais anakataa kutoka madarakani kwa kisingizio ama
1.Sijaona wa kuweza kuyaendeleza niliyoanzisha
2.Maandamano feki ya kushinikiza abaki madarakani
3.Muswada au hoja Ya kujipendekeza kupitia Bunge,
Wewe kama mwananchi, utachukua hatua zipi
Baada ya hapo Ikatengenezwa Mkoa wa Magumashi Geita ikajisukiza huko, Baada ya Hapo inatafutwa nafasi Chato iwe makao makuu ya Mkoa Nasikia kuna MKOA RUBONDO unafumwa ilk chato iwe makao makuu,
Baada ya hapo hatujui kama haiyadai RUBONDO kuwa nchi
UZI EVOLUTION OF CHATO
Mwaka 1985 ikiwa Biharamulo Mr Pombe Magufuli aliweka jina kugombea na Mkulima Phares Kabuye, akashindwa Vibaya sana alipata asilimia 12 kati ya 100, Bwana Phares akaendelea kuwa mbunge, Mwaka 1990 Mwalimu wa Chemistry Magufuli akaweka Jina tena, Bwana..
Akaibuka Kijana wa Kupingana na Magufuli akawekewa vipingamizi kwamba si Mzawa bali ni Mshuti akaachana na Kugombea, bwana akalichukua hilo jimbo la Biharamulo Magharibi,Baada ya ubunge na unaibu waziri akapigana Chato liwe Jimbo kabisa, baadae Akapigana ijitenge kutoka kagera
Nimatafakari, hivi ile Movement ya @zittokabwe@kitilam na @samsonmwigamba ingefanikiwa Zitto akawa Mwenyekiti wa CDM mwaka 2011 , kwa sasa CHADEMA ingekuwaje, Kuna Muda Unaweza usimuelewe @freemanmbowetz kwa Muda mfupi ila baadae ukaona alicho maanisha, akamtimua Zitto
Kuna watu ma snitch sana, unawapa mchongo wanakuuza kwa serikali usiamin mtu twitter narudia usiamini yeyote utahujumishwa uchumi narudia kuwa makini ukishare taarifa zako,
Kuna Mbunge alinilalamikia mwaka 2019 July kwamba kuna mpango wa kulazimisha iwepo MV Chato na ilikuwa imepangwa iwepo kabla ya July 2020, nashangaa wameweka kando miradi muhim, sasa kipaumbele ni chato!
Serikali yapokea kivuko kipya cha MV. CHATO II HAPA KAZI TU. Kivuko hicho kimegharimu shilingi bilioni 3.1 na kina uwezo wa kubeba abiria 200 na magari 10 sawa na tani 100, kitatoa huduma kati ya Chato Mharamba, Nkome na visiwa vya jirani ikiwemo Senga, Bukondo na Izumacheli.
Mwaka 2021 na matukio yake
1.Pigo ndani ya CCM wataondokewa na wanayehisi ni nguzo muhim
2.Umoja wa mataifa utakaza
3.Mfumko wa bei utaongezeka sukari itafika 4000 unga 2300/ kg,
4.Mafuta yatapanda bei hadi 2300 kwa lita
5.Eneo la Afrika Mashariki kuna dictator maarufu ata R.I.P
Nakazia hakuna mtu anayependa mzazi wake atangulie mbele ya haki au aachane na mzazi wake wa jinsia nyingine, ILA UKWELI NI KWAMBA KUMCHUMBIA MWANAMKE ALIYELELEWA NA UPANDE MMOJA WA MZAZI AU MAMA AMA KWA KUACHANA NA BABA YAO AU KWA KIFO ITAKUSUMBUA MAISHANI. utanishukuru baadae
Kama ni kijana mwenye malengo usithibutu, Kuoa mwanamke mwenye mtoto, mwanamke alolelewa na upande mmoja wa mzazi yaan MAMA tu. Usithibutu katu kuoa au kuchumbia mwanamke ambaye ana dada zake wamezalishwa hawakuolewa, Thank me later,
kwenda Chini futi 756 (Long) ambapo Ni Sawa Mita 230 ambapo kwa lugha Nyepesi Ni Upana wa Chini Ni Sawa na Uchukue viwanja vya Mpira 2 unganishe na huo ndio ulikuwa ukubwa wa Pyramids kwa Pyramids kubwa ambalo lipo Giza LILIJENGWA na Jumla ya mawe Million 2.3 mpaka Million 2.5
Wagiriki hawa Mpaka hii leo wanaamini kwamba Ma-Pyramids hayo yalijengwaa na mtu mweusi katika Utawala wa 4 Dynasty mnamo Karne ya 26 na Ni kwa Sababu Wagiriki kwa MDA mrefu Walikuwa Wanaenda Kusoma Misri ndio maana Hata Plato alikaa Misri kwa MDA wa Miaka 13 akichota
Maarifa ya Kemet ndio baadae akarudi kwao na hapo akaanza Kuonekana Kama Mtu mwenye akili nyingi kumbe Alifundishwaa Sayansi,Mambo ya madawa,Kuumfahamu Mungu,Utawala na Mambo ya Anga yote hayo alifundishwaa na Waafrika, Pyramids ambalo lipo Giza uko Misri Lina Urefu wa