Akimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye maadhimisho ya #miaka36yatamwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) Jenister Mhagama amesema Matukio na Maisha Blog inafanya kazi nzuri na ni mfano mzuri wa kuigwa.
.
👇
Over 73% of the 7.74 million people living with sickle cell disease (SCD) are in Africa.
Most deaths from SCD complications occur among:
👶🏾 Children under five
👨🏾 Adolescents
🤰🏿 Pregnant women
Access to proven interventions and treatment remains a challenge, particularly for these vulnerable groups.
_______________________
📣 The media plays a crucial role in shaping public awareness and encouraging safe use of medicines and medical technologies.
.
@m24_tanzania MEDIA nakujuza kwa kina #taarifamuhimuafya#taarifamuhimujamiizetu cc #matukionamaishablog
📣 Vyombo vya habari vina nafasi ya kipekee katika kuifikia jamii kwa elimu sahihi kuhusu matumizi salama ya dawa na vifaa tiba.
.
📊 2022–2025 TMDA imefanikiwa kusajili dawa 8,332 na vifaa tiba 3,000, kuidhinisha uanzishwaji wa viwanda 18 vya afya na kuongeza watumishi
🟣 Kasi imeongezeka pia matumizi ya mifumo ya kidigitali Nimepata heshima kushiriki kikao kazi cha TMDA na wahariri wa habari kutoka Tabora, Kigoma na Katavi tukijadiliana namna vyombo vya habari vinavyoweza kushirikiana kikamilifu katika kulinda afya ya jamii.
18 of the 20 countries with the highest burden of cervical cancer are in Africa.
To eliminate cervical cancer by 2030, WHO recommends:
✅ 90% of girls under 15 vaccinated against HPV
✅ 70% of eligible women screened
✅ 90% of women diagnosed with cervical cancer receive treatment
WHO calls for stronger commitment to scale up vaccination, screening, and treatment.
We can #EndCervicalCancer. 🎗️
Every child, everywhere, deserves protection from preventable disease.
I commend Kenya’s leadership in launching this nationwide measles-rubella and typhoid vaccination campaign – a powerful step toward health equity and #HealthForAll.
@WHO is proud to support.
#VaccinesWork
TAMWA imelaani mashambulizi ya kijinsia dhidi ya wanawake mitandaoni hususani viongozi, huku ikisisitiza kuwa vitendo hivyo ni kikwazo katika ushiriki wa wanawake kwenye uongozi na kimetoa wito kwa mamlaka husika kuchukua hatua stahiki dhidi ya wahusika. #SiasaBilaMatusi#TAMWA
@TAMWA_ imekuwa chombo muhimu cha kupaza sauti dhidi ya
~ukatili wa kijinsia
~kuhamasisha uundwaji wa sera na sheria zenye mlengo wa usawa wa kijinsia
~kuwajengea uwezo na kuwezesha maelfu ya wanahabari kufahamu kwa kina masuala ya usawa wakijinsia
#TAMWAAGM2025#WomenInMediaTz
Thank you M24 Tanzania Media for highlighting the impactful work of Merck Foundation and our meaningful partnerships with African and Asian First Ladies. Together, we are driving real change in healthcare, education, and women empowerment across communities.
Dr. Rasha Kelej
CEO of Merck Foundation
President of Merck Foundation First Ladies Initiative (MFFLI)
Read the full article: https://t.co/fQhw01V50x
"It gives me a pleasure to share this powerful article from M24 Tanzania on the 7th Edition of our Merck Foundation First Ladies Initiative (MFFLI) Summit, highlighting Merck Foundation's continued efforts towards media and art."
Dr. Rasha Kelej
CEO of Merck Foundation
Read more: https://t.co/nVU8Dw2yTk