@ezekiel_kamwaga@mshambuliaji@shaffihdauda1@privaldinho Kitu ambacho hukifahamu Bro.
Mpira wa Bongo ni kuwa active. Kuna wachezaji wamesajiliwa na timu hatujasikia kuona ukiwapigia promo kwa mashabiki, Safari ya Morocco tunaiona tu kwa magazeti na page ya @SimbaSCTanzania but Msemaji upo kimya.
Changamka Bro
@Katemana @blackvibes____ @SimbaSCTanzania@moodewji Anajifanya anajua sana huyo.
Sancho Dortmund, Madrid na Aston villa ndo timu gan hapa Bongo..?
Huelewi unachoandika ww.
Mm nataka kujua Simba ya Tz