@wa_uzi@SimbaSCTanzania@moodewji Nakusamehe kwa sababu hujui mpira,huwezi taja klabu iliyowasajili wakati dirisha la usajiri la vilabu walivyosajiliwa havijafunguliwa bado,misri ligi haijaisha unatakaje kuwatia kwenye matatizo kisa wakuridhishe wewe
Sawa yanga mmefanya maamuzi sahihi ya kutocheza mechi,ila kumbukeni simba atachukua ubingwa kabla ya mechi na mtani,na itakapochezwa mtakuwa tayari kutupigia makofi tunapotoka vyumbani kuingia uwanjani
@mshambuliaji Wakati watu wanapunguza mapango kwenye jezi wao ndio wanaongeza,haikuwa na m!na ya kuiweka ramani hapo,alafu ramani imekwa kuuubwa hadi kero
@GloryPeter2017@Emaruna Inategemea ni hospitali ipi ulienda na ndio maana kuna referral hospital,usilazimishe hospitali moja tu,jitahidi kwenda hospital kubwa zenye madaktari bingwa wa watoto utapata msaada mzuri,si dhani kama umeenda hosp.zote