@Macheda__ Mambo 2 tofauti! Labda tatizo lako ni udumavu na usaliti. Hawawafukuzi kwa kukosoa bali kutumika tu tena kama kondomu kinyume na malengo ya chama chao.
Mnasema Wanaharakati TUJE GROUND kuandamana—kuna mtu kamuona SAMIA huko leo?
Kuna mtu kamuona MAFWELE huko barabarani?
Kuna mtu kamauona MURILO huko barabarani?
Kuna mtu kamuona WAMBURA huko barabarani?
Wote wameingia SHIMONI kama Panya BUKU. Mkiwaona ground na sisi mtatuona.
HUU NDO UJUMBE WANGU AMBAO NIMEMTUMIA MKUU WA MAJESHI YA ULINZI TANZANIA, JENERALI JACOB MKUNDA.
👇👇👇👇
Kwako CDF Mkunda,
Ni matumaini yangu kwamba umzima wa afya.
Wewe unaitwa Mkuu wa Majeshi Tanzania kwasababu majeshi yote nchini yapo chini yako kwa mujibu wa Katiba yetu ya Tanzania.
Jeshi lenu linaitwa Jeshi la Wananchi sio Jeshi la Rais wala Serikali kwasababu moja kati ya majukumu yenu ni kulinda Uhuru wetu, kulinda Usalama, na mipaka ya nchi yetu.
Kabla ya Oktoba 29, kuna Wanajeshi kutoka nchi ya Uganda waliingia Tanzania, taarifa zilisambaa kila kona lakini wewe na vikosi vyako vyote mlikuwa kimya licha ya kwamba ulikuwa unajua kuwa kuna uwepo wa Jeshi kutoka Uganda na unajua Katiba ya Nchi hairuhusu jambo kama hilo.
Oktoba 29, tulipoteza Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi ambao waliuwawa kwa risasi na waliofanikisha mauaji hayo ni Jeshi la Polisi, TISS, KMKM na Wanajeshi mamluki kutoka Uganda.
JWTZ mmeshindwa kulinda mipaka ya nchi yetu ndo maana Wanajeshi kutoka nchini Uganda waliingia Tanzania kwa msaada wa Jeshi la Polisi Tanzania, na wakapewa majina feki na bunduki ili wauwe Watanganyika wenzetu, mamluki kutoka Uganda, TISS, KMKM, Polisi na baadhi ya Wanajeshi wako walishirikiana kikamilifu kuwamiminia risasi ndugu zetu bila hata chembe ya huruma.
JWTZ mmeshindwa kulinda usalama wetu na usalama wa nchi yetu ndo maana kabla ya Oktoba 29 ndugu zetu zaidi ya 600 walitekwa na kupotezwa na hata baada ya Oktoba 29 hali imezidi kuwa mbaya maana bado watu wanaendelea kutekwa na kupotezwa na wengine tunawindwa kila kona, tunaishi kama digidigi halafu bado nyie mnaguts za kujiita Jeshi la Wananchi, Jeshi gani la Wananchi ambalo haliwezi kulinda usalama wa hao Wananchi wake?
JWTZ mlishindwa kulinda uhuru na usalama wetu, maana kulinda Uhuru na usalama wetu ilikuwa ni pamoja na kuhakikisha Maandamano ya Wananchi ya Oktoba 29, yanafanyika kwa amani na yanaisha kwa amani, lakini nyie mlitulia tu mkaacha vikosi vya Samia vimwage damu za maelefu ya Watanganyika ambao waliuwawa kwa risasi.
Kibaya kuliko yote baadhi ya Wanajeshi wa JWTZ ambao walionekana wakilinda Maandamano ya Wananchi Oktoba 29 maeneo mbalimbali nchini.
Baada ya Oktoba 29, wewe CDF uliagiza wakamatwe na wafunguliwe kesi kwenye Mahakama ya Kijeshi (Court Martial) mkawabambika kesi kwamba walichochea Maandamano, yani kwa lugha nyepesi ni kwamba wewe CDF, ulichukizwa sana sana kwa kitendo cha baadhi ya Wanajeshi wako wa JWTZ kulinda Wananchi ili wasiuwawe kwenye maandamano ya Oktoba 29, means ulifurahishwa sana na mauaji ya Watanganyika wenzetu siku ya Oktoba 29.😭
Mahakama ya kijeshi ( Court Martial) iliwatia hatiani Wanajeshi ambao walijitolea kulinda Wananchi siku ya Oktoba 29 ili wasiuwawe, Yani wanajeshi ambao walijitolea kutulinda Oktoba 29, Wamefungwa wapo magereza wanasota wakati huo Viongozi wa ulinzi na usalama walioshiriki kuuwa kwa risasi Watanganyika zaidi ya elfu kumi wapo mtaani wanatamba bila wasiwasi licha ya kwamba hata wewe mwenyewe unawajua kwa majina na sura zao.
Hii dhambi itakutafuna wewe na kizazi chako mpaka siku unaingia kaburini.
NB. Hii video ambayo nimekutumia hapa huyu ni Mwanajeshi wako wa JW, kamvua nguo raia na kumtesa hadharani, huu ndo ukatili ambao baadhi ya Wanajeshi wako walikuwa wakiwafanyia watu siku ya Oktoba 29, hili tukio lilitokea Tunduma siku ya Oktoba 29z
Ndimi Hilda Newton,
Mwanachama wa Chadema na Mwanaharakati wa Haki za Binadamu.
Vita sasa ni akili, teknolojia na pesa. Vita si tena kubeba mizigo mizito mgongoni na visu vikubwa kiunoni kisha kuingia msituni kupambana na adui. Ni vita inayotumia teknolojia za kisasa na uchumi mkubwa. Wanasayansi wamegeuza maabara kuwa viwanda vya kutengeneza silaha za kisasa. Hii ndiyo maana halisi ya Teknolojia na uchumi. MaCCM wao hawataki mambo ya teknolojia. Wanarudi nyuma wakati Dunia inasonga mbele. MaCCM wao wamewekeza nguvu kupambana kuwazuia wanawake wa CHADEMA wasikutane kuadhimisha siku ya wanawake Duniani, siku ambayo wanaitumia kujadili mambo yao ya wanawake na kushangilia jinsia yao. MaCCM wanaona huo ni uhaini. MaCCM bado wapo katika hatua za UNYANI.
@MsigwaPeter Ulitufundisha " Akili ndogo haiwezi kuongoza akili kubwa" Tulikubaliana mwenye hilo 💯
Leo unataka sisi tuamini watu walioshindwa kuuona Thamani ya Watu kwa miaka 64 kwamba wanaweza kutuletea maendelo na kutatua changamoto zetu. kwanini UNATUCHAGANYA vijana wako wa zamani?
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 217
Anaendelea Mhe. Lissu na Cross examination.
Mhe. Lissu: Sasa shahidi ili nikuhoji vizuri naomba uwaambie waheshimiwa majaji kama upo tayari maelezo yako yapokelewe kama kielelezo
Coplo Amani : nipo tayari
Serikali: hatuna pingamizi.
Mahakama; maelezo haya yanapokelewa kama exhibit D14
Mhe. Lissu: Waheshimiwa naomba exhibit D14.
Mhe. Lissu: Sasa shahidi maelezo yako sasa ni kielelezo D14 naomba uyaangilie vizuri
Swali langu la kwanza umesema unafanya kazi katika kitengo cha upelelezi chini ya Mkuu wa upepelezi wilaya
Coplo Amani : ni kweli
Mhe. Lissu: Waeleze waheshimiwa majaji kama hayo maneno yapo kwenye D14
Coplo Amani : yapo
Mhe. Lissu: wapi
Coplo Amani : angalia page ya pili
Mhe. Lissu: soma
Shahidi anasoma
Mhe. Lissu: Naomba niangalie hayo maelezo na waheshimiwa majaji naomba na nyie muangalie kwenye typed.
Mhe. Lissu: naomba na mimi nisome waheshimiwa majaji, yupo sahihi kama alivyosoma ya kwangu ndio yamekosewa.
Mhe. Lissu: Kwenye ushahidi wako shahidi umesema wewe ni msaidizi katika shughuli zote za upelelezi wilaya ya Mbeya
Coplo Amani : sahihi kabisa
Mhe. Lissu: Waeleze Majaji kama hayo maneno yapo kwenye kielelezo D14
Coplo Amani : hayo maelezo hayapo
Mhe. Lissu: Kwenye ushahidi wako umesema ulikua unaelezea Kituo cha polisi Ilomba ulisema ni Kituo kidogo cha polisi kilicho chini kituo cha kati cha mbeya kama out post na ukisema ivi ina maana hakija-qualify kuwa Kituo cha Polisi?
Coplo Amani : sahihi
Mhe. Lissu: kama hayo maneno yapo kwenye maeleezo yako
Coplo Amani : hayapo
Mhe. Lissu: 4 april 2024 kwa majibu wa maelezo yako ulipewa maelekezo na Jorum kwenda mtaa wa Mtengule
Coplo Amani : Kweli
Mhe. Lissu: Lakini alikupa namba ya simu askari wa intelijensia ili akuongoze ukamkamate mhalifu
Coplo Amani : sahihi
Mhe. Lissu: waambie kama hayo maneno kwamba ulipewa namba ya simu yapo kwenye maelezo yako.
Coplo Amani : hayo maelezo hayapo katika kielelezo D14
Mhe. Lissu: uliwaeleze askari wa intelijensia kama askari wanaojichanganya na raia kama vile boda boda
Coplo Amani : ni kweli
Mhe. Lissu: Waeleze majaji kama huo ufafanuzi wako upo kwenye maelezo yako.
Coplo Amani : hakuna
Mhe. Lissu: : Baada ya kupewa namba ya mtu wa intelijensi uliwasiliana nae na badae ulikutana nae mtaa wa Mtengule
Coplo Amani : Kweli
Mhe. Lissu: waeleze kama hayo maneno yapo kwenye maelezo yako
Coplo Amani : hayapo
Mhe. Lissu: Umesema huyo Askari wa intelijensia alikuongoza na kukuonyesha huyo mtuhumiwa katika kijiwe cha boda boda na kulikua na watu wengi, waeleze kama hayo maneno yapo kwenye statement yako
Coplo Amani : hayapo
Mhe. Lissu: Umesema taarifa ulizopewa mtuhumiwa ndiye anayehamasisha wenzake kufanya vurugu na kuzuia uchaguzi wa 2025
Coplo Amani : kweli
Mhe. Lissu: waonyeshe hayo maneno kama yapo katika maelezo yako.
Coplo Amani : hayapo
Mhe. Lissu: Sasa ushahidi wako unasema ivi baada ya kuonyeshwa huyo mtuhumiwa ulimfata na kumtoa pembeni ya kijiwe, kisha ukajitambulisha kwake kwa jina na ukamwambia tuhuma zake za kuhamasisha vurugu na kuzuia uchaguzi wa 2025, sasa angalia D14 na ueleze kama hayo maeno yapo?
Coplo Amani: hayapo.
Mhe. Lissu: Kwenye ushahidi wako umesema, ulimueleza kuwa anahitajika kituo cha polisi Ilomba na alikubali kwenda, ni kweli au si kweli
Coplo Amani : kweli
Mhe. Lissu: Waeleze kama hayo maneno yapo katika maelezo yako D14
Coplo Amani: Ndio yapo
Mhe. Lissu: yapo wapi, utusomee?
Coplo Amani : hayapo
Mhe. Lissu: Umesema kwamba, kwenye maelezo yako tuhuma iliyokuwa inamkabili ni kinyume na kifungu cha 390, waeleze waheshimiwa majaji kama kwenye maelezo yako yapo?
Coplo Amani : hayapo.
Mhe. Lissu: umesema baada ya kumhoji alikubali kuwa anashawishi wenzake juu ya vurugu na wakati akiangalia YouTube aliona Tundu Lissu akihamasisha uasi, kufanya vurugu na kuharibu uchaguzi wa 2025
Coplo Amani :Kweli
Part 218 itaendelea kwenye post inayofuata,
Naomba repost yako.
ukiona post hi Repost, ✌
Kila Mwananchi MTanzania mzalendo unakila sababu yaku Reposti 1000 ifike duniani hi post mwisho wa mateso sasa basi 🤲😭
DPP mfutie Tundulisu kesi ni uwonevu
Reposti 1000?
#MsiogopeTumeshinda
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 152
Anaendelea Mhe. Lissu.
Tuna haki yakutembelewa, waheshimiwa Majaji kuna masharti kwenye hiyo kanuni ikiwemo sharti la kutembelewa na mfungwa mwenzako, sharti lingine ni askari magereza wakuone na kukusikiliza ila kwa Mawakili kanuni haisemi hivyo.
Waheshimiwa Majaji tangu tarehe 10/04/2025 mpaka 12/11/2025 nilikuwa natembelewa bila tatizo.
Na ndugu, familia, marafiki na Mimi ni Mwenyekiti wa Chadema Taifa, walikuwa wananitembelea wana Chadema
Tanzania nzima.
Niliitwa kwa Bwana Jela nikaambiwa ni marufu kwa viongozi na wanaChadema kukutembelea Gerezani.
Chadema ni Chama halali na sio kosa kwa wanaChadema na viongozi wenzangu kunitembelea lakini kuanzia Tar. 12/11/2025 hawajaruhusiwa.
Maafisa magereza ni maafisa wa umma so yale magereza sio mali zao binafsi.
Hawana mamlaka ya kubagua nani aje gerezani nani asije. Katiba inasema usibague watu kwa mtizamo wao wa kisiasa, dini au kabila na hili vilevile naomba niwaeleze mlifahamu kuhusu violation ya haki ya Mfungwa kutembelewa.
Waheshimiwa Majaji sasa naomba swala la tatu niliseme.
Linahusu uendeshaji wa kesi hii. Na naomba niweke wazi kuwa siwalaumu kwa chochote nitakachosema hapa. Na hiki nitakachosema siwalaumu mawakili wa serikali na nyie majaji.
Haki zangu zimekiukwa sio kwa kosa lenu wala la Mawakili wa Serikali.
Waheshimiwa Majaji leo hii ni siku ya 307 tangu niwekwe mahabusu.
Miezi 10 week 44 niko mahabusu. Waheshimiwa majaji katika siku zote hizi kesi hii imesikilizwa kwa siku 14 tu na leo ni siku ya 15 kesi hii inasikilizwa katika siku 307.
Kuna siku 88 ambazo kesi haijasikilizwa kabisa, niko gerezani hakuna kinachoendelea.
Haki iliyocheleweshwa ni haki iliyokiukwa. Justice delayed is justice denied.
Na Katiba yetu inaelekeza Mahakama ziendeshe mashauri kwa namna ambayo haitachelewesha Haki. Ibara ya 147 ya Katiba inasema.
Kifungu cha 5 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai kinasema mashauri yanaendeshwe kwa haraka.
Tatizo lipo kwenye utaratibu wa session ndio tatizo na hilo ni tatizo la wanaoamua kesi iendeshe kwa njia ya session.
Naomba niwasomee kilichosemwa na Tume ya Haki jinai kuhusu kuendesha mashauri ya jinai kwenye ripoti ya July 2023, ukurasa wa 17 na 18 unasema kuhusu vikao vya mahakama kuu (high court session) tume inasema uendeshaji wa mashauri kwa njia ya vikao huchelewesha mashauri hayo.
Kati ya mashauri 2000 ni mashauri 700 tu ndio yalisikilizwa pekee kwa mtindo wa session.
Hivyo basi uendeshaji wa kesi kwa kutumia session unaamuriwa na Jaji Mkuu zikiisha siku tunasubiri aseme tena ndo maana zimepita siku 88 bila kesi hii kuendelea hadi atakapopanga tena huyo Jaji Mkuu.
Ucheleweshaji huu sio kosa lenu wala mawakili wa Serikali ni kosa la utaratibu tulionao.
Je huu utaratibu wa session uko wapi kwenye CPA ambayo ni sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai.
Leo hapa High Court Dar es salaam kuna majaji wakutosha lakini ili kesi yangu isikilizwe lazima Jaji atoke Songea, mwingine Mtwara sijui na lazima walipwe, Usafiri, Chakula na kila kitu.
Usipowalipa kesi haiendelei na mimi mtuhumiwa nateseka huko jela. Walishindwa nini kuwapangia majaji wa hapa ili kesi isikilizwe kila siku.
Zamani majaji walikuwa wachache sana lakini siku hizi kila mkoa kuna majaji. Nashangaaa mambo haya kwa utaratibu huu sasa.
Jaji anasema soma kifungu cha 185 na anakisoma hapa kinasema Mahakama inamamlaka ya ku conduct seatings.
Mhe. Lissu anasema kuna tofauti kati ya seatings na sessions.
Kwahiyo kwenye hili ni tofauti na ku conduct seatings. Mahakama kuu zote zinakaa kusikiliza kesi hizo ni seatings zote.
Mimi nasema utaratibu wa sessions ni mbaya zaidi kwa kesi kama ya Uhaini.
Jaji ameleta kifungu namna Lissu alivyolitafsiri ameishia kusema hebu tuendeleee basi mshitakiwa 😂😂😂
Kosa la Uhaini ni Sue Generis sio sawa na wizi wa kuku, ujambazi na makosa mengine.
Part 153 itaendelea kwenye post inayofuata.
Naomba Repost yako.
KUMBE WAUAJI NAO HUWA WANAKUFA.?
Huyu Michael Kamuhanda alimuua Daud Mwangosi kwenye Mkutano wa hadhara wa CHADEMA ambao ulifanyika eneo la Nyororo-Iringa enzi izo Kikwete akiwa Rais.
Mwezi unaofuta baada ya kumuuwa Mwangosi huyu jamaa akawa promoted from SACP to DCP, kesi ilifunikwa funikwa ikaisha namna hiyo lakini walimpa muuaji hongera kwa kumpandisha cheo.
Kamuhanda litoa amri likapigwa bomu la short range uelekeo wa Daudi Mwangosi akafa pale pale utumbo, figo, maini vikapatikana chini.😭😭😭
Wakati anafanya Ukatili huo kwa Mwangosi alidhan kwamba yeye ataishi milele sasa na yeye amekufa, Tunamshukuru sana Mungu wetu.
Tunaendelea kumuomba Mungu hata Idd Amin Mama na washing wake wote walioshiriki kuua kwa risasi Watanganyika zaidi ya elfu kumi, Mungu akashughulike nao asimuache hata mmoja.
SHE TOTALLY OUT OF TOUCH.
1. Niliwahi kusema hapa, ni bora akawa ananyamaza tuje tumuondoe kimyakimya maana akifungua tu mdomo wake ni MATAPISHI MATUPU yanatoka. Badala ya kupoza hasira anazichochea #D9
2. Sasa tunajua yeye na genge lake ndio liliwatuma wale mashekhe uchwara kuja kuishambulia TEC ( She stripped herself)
3. Sasa tunajua yeye ndio anasukuma hii kete ya UDINI ili apate huruma kutoka kwa ndugu zetu waislamu. Ionekane hapendwi kwasababu ya udini wake.
4. Sasa tunajua yeye ndio alitoa ORDER ya watu kuuwawa. Anasema ilikuwa lazima kutumia nguvu kubwa (Imagine nguvu kubwa ya kuwafuata watu majumbani na KUWAUA)
5. Hataki kukubali/kuwajibika amekosea/wamekosea. Anatupa LAWAMA kwa Chadema na wanaharakati wanaoishi nje. (The same stupid mind ya kusema watu wamelipwa na kufuata mkumbo)
Mwisho.
Hauitaji kuwa na cheti cha darasa la saba kuona OMBWE (VACUUM) kwenye ubongo wake na wanaomzunguka. We cannot afford to have this kind of leadership kwenye nchi yetu. She is terrible and horrendous.
December 9, hatupaswi kufanya kosa. Hawa watu wamejaa VIBURI. Ni wa kuwafurumusha kutoka kwenye ofisi zetu za umma.
@LuhagaMpina Mmewekeza kwenye bandari ipi? Mmekodisha au mmewekeza? Mnajiringanisha na nchi ipi wakati hata Rwanda asiye na rasilimali anawazidi? Hiyo ni njaa na Kiu ya uteuzi.
@PMadeleka Zero brain! Wao ndani tu kulifukuta sababu mgombea wao wa urais haukushinda ktk uchaguzi huru na wa haki. Leo uje na blaa blaa...za kutuhadaa ili tukupongezeni ACT. Hakuna kitu,mlionywa na tamaa zenu za madaraka hamkuelewa nyie vilaza,madalali na wachumia tumbo. Sasa mnateseka!
Kama MWINYI ni Rais Wa Zanziber yupo wapi RAIS wa TANGANYIKA , na SAMUYA ni Rais wa nini? sisi sio wajinga tena DECEMBER 9 tunaotaka nchi yetu,TANGANYIKA ni Taifa HURU hamuwezi kutuuwa hamuwezi kuuza mali za nchi yetu kiholela na ajira mnapeana kama Familia halafu TUWACHEKEE