@her_wisdom@lugmeryz@Kiganyi_ Bila katiba mpya hapatokuwa na UTIMAMU kiuchumi, kisiasa na kijamii.
Katiba mpya itakayo tokana na watu kwa ajili ya watu itachipua viongozi na uongozi utakao tokana na maamuzi ya wengi. Uwajibikaji, usawa na uwazi kwenye kuendesha nchi na maendeleo ya watu.
Nchi itakuwa TIMAMU
@JatJackson@TanzaniaLeaks SWALA sio sala. Wanao SALI hawana maswali. Anayesali anajua anachoabudu anayeswali bado haelewi. Msikiti una mawaidha na mawaidha ni porojo kama kijiweni wanaoSALI wanaMAHUBIRI. Wenye biblia hawana hadithi wenye hadithi wana quran. Wanaosema allah mungu wanasujudia jiwe. Fikiria
@salmanfarsy15@TanzaniaLeaks SWALA sio sala. Wanao SALI hawana maswali. Anayesali anajua anachoabudu anayeswali bado haelewi. Msikiti una mawaidha na mawaidha ni porojo kama kijiweni wanaoSALI wanaMAHUBIRI. Wenye biblia hawana hadithi wenye hadithi wana quran. Wanaosema allah mungu wanasujudia jiwe. Fikiria
Kifungo cha 92 cha sheria inayoitwa mpya ya uchaguzi, kinasema Mkurugenzi, msimamizi wa uchaguzi anaweza kuamua wapi kura zihesabiwe. Kura zimepigwa kwenye vituo vya kata ya Manga msimamizi anasema hapa hakuna usalama akaenda kuhesabia hizo kura Sirari…
Huwezi kulinda kura zilizoibiwa na sheria na kanuni kabla ya kupigwa.
#NoReformsNoElection
Tulishajiandaa kupokea taarifa ya kwamba hamhusiki na kumteka Mdude na yametimia. Katika mafundisho yake Mtume Muhammad (S.A.W), dua za watu watatu lazima zijibiwe, mwenye swaumu mpaka afuturu, imaam muadilifu na MTU ALIYEDHULUMIWA. Dua za waliodhulimiwa zitawaangamiza.
Inahitaji shahada ngapi kujua wanaojivua uwanachama wanashikishwa chochote kitu?
Kama chama hakina dira na hakuna vikao kama asemavyo Salumu Mwalimu, hayo si ni mambo ya kuzungumza tu, kurudishana kwenye mstari na kuendeleza mapambano, kwanini uhame kabisa?
Kadiri upepo unavyozidi kuwa mkali, ndivyo tunazidi kuona miti yenye mizizi dhaifu ikianguka na miti imara ikiendelea kudumu. Nafuatilia kinachoendelea Kanda ya Ziwa muda huu na ninachokiona, Oktoba tutakuwa na kazi ngumu zaidi ya ile ya 2015.
Mtu aliyenifukuza Bungeni bila kunipa nafasi ya kunisikiliza. Juzi alisikika akisema kwamba, hakuna uthibitisho wa watu walioripotiwa kutekwa kwamba wametekwa, hivyo sio sawa kuripoti wametekwa kwa maana hakuna uthibitisho. Usikia kejeli, dhihaka na jeuri ya cheo, ndio hii.
@JonMrema Sio tu umefukuzwa. Uso wako kwa walimwengu unaonyesha sio mtu wa kuaminika. Sio sasa ila tangu awali wenye maarifa walijua umamluki na uyuda upo kwa DNA yako. YOUR WORTHLESS CHILL OUT
@Jambotv_ Ulafi wa madaraka utadhalilisha vizazi vyenu kwa muda mrefu sana. Maneno nikama matapishi hayamezeki na huyu ni mjinga wa tumbo asiyepima manrno yake kisa ulafi wa cheo
@Jambotv_ Pllisi wa tanzania ni wajinga sana. .aisha yso choka mbaya kiburi pro max very stupid people hawajui inapigzniwa haki yao kwa vizazi vyao ambavyo hawatakuwa hata mgambo. Mentalit ya kitumwa kabisa waliyonayo polisi
@tanpol PASIPO HAKI AMANI HUPOTEA. AMANI IKIPOTEA HAKUNA SHERIA WALA UTAWALA WA SHETIA. MABAVU HUCHUKUA NAFASI VISASI WAZI WAZI WALIOUMIZWA NA KUTESWA HULIPIZA KWA WATESI MUNGU ASIPOINGILIA KATI TAIFA LINAPOTEA. Nyie ni wahusika wakuu wa kulinda haki ila badala yake ndio mnaibaka haki⏰