@BinKombo3@ayubu_madenge@ramadhan_shamte Shida una define democracy kwa mlengo wa uvccm,nakuambia democracy haikupi assurance ya kupata kiongozi bora but inakupa more option ya kuwajibisha watu incompetent leaders as more as you can na bila kusubiri awamu zao ziishe,Ccm bila power wanajua real definition ya democracy
@BinKombo3@ayubu_madenge@ramadhan_shamte Na viongozi wanawajibika sasa hapa hata iweje hakuna kuwajibika yaani ni lazima umalize mihula yako,kifupi Ccm ukipata uongozi unageuka malaika
I’m sorry ila acha niseme tu ila ni hivi, kama viongozi wengine wa Chadema wangekuwa na pumbu la mwenyekiti wao haki tungekuwa tumepiga hatua flani kwenye movement.
Lissu ni zaidi ya mwaka sasa anapitia mateso yasioelezeka na kagoma kuwauza Watanzania ili apate freedom. Ila hawa viongozi wenzake walio uraiani wanaogopa hata kuitwa polisi.
Wanaogopa hata kuitisha maandamano ya kumpigania Mwenyekiti wao atoke. Dunia nzima inachukua action ili Lissu atoke, dunia inapitisha miswada, inafutwa misaada ya TZ juu ya Lissu na human rights ila Chadema hawachukui action zaidi ya maneno kwenye masteji tena maneno ya uoga uoga, wanahakikisha sio maneno ya kuitwa central.
Tatizo uongozi mzima kasoro Lissu wako soft. They are too soft kuleta ukombozi. Chama kizima kinafanya siasa za uoga kasoro mwenyekiti wao.
Atakaechukia kwa statement zangu, chukia ikisha pasuka, tena ukiweza ni block kabisa, I don’t give a fuck!!!!’ Mimi sina chama na sipiganiii chama chochote, nachopigania ni Watanzania kupata HAKI na ACCOUNTABILITY then wao watachagua wenyewe chama chao na viongozi wao. So napoona the only people tunaowategemea kutupigania wanaonyesha uoga wa level hizi nakosa amani ya roho.
@TunduALissu Mungu akupiganie utoke, uje urudishe uanaume kwenye hiki chama. Maana sasa hivi ni kama chama kinaongozwa na wanawake maana sio kwa u-soft huu.
DR Congo haifanyi mzaha: Ujenzi wa Kinshasa Arena unaendelea kwa kasi! 🇨🇩
Kwa bajeti ya dola milioni 105 za Marekani, uwanja huu wa kisasa wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 20,000 unajengwa rasmi jijini Kinshasa na unatarajiwa kuwa ukumbi mkubwa zaidi wa ndani wa michezo na matukio mbalimbali barani Afrika.
@enthusiasm_01@mangekimambi Jamaa una kichwa kigumu aafu unajiita emperor sijui enthusiasm hujui hayo ni malipo ya haki zilizovyonjwa kwa kuua watu mean upande wa oppressors wananunuliana furaha kwa gharama yoyote ili kwa support waliyopeana kipind cha uchavuzi
Unaambiwa nchini China kuna miti inaitwa, “Chinese Bamboo”, ukipanda unaweza kumwagilia mpaka miaka 5 bila kuchipua.
Lakini, mwaka wa tano utakapochipua, ndani ya wiki 6 inakuwa kwa urefu wa futi 90.
Kwamba, ndani miaka 5 chini hutengeneza mizizi imara ya kusapoti ukuaji wa haraka wa ndani ya wiki 6.
Hilo ni somo juu ya “Ustahimilivu na kufanya kwa mwendelezo”, kwani kila kitu kina Compounding.
Haya maandamano ni ya muhimu sana na lazma yasukumwe sana na watu ambao mna access na wananchi both online and on the ground.
Watanzania no one is coming to save us. Lazma tujipiganie wenyewe. We have to fight for a new constitution, Tundu Lissu’s freedom, accountability for October 29 massacre. and we have to fight for new free and fair election.
International pressure itasaidia mauwaji kuogopa kuua tena ila the rest of the work Lazma tufaye wenyewe.