Industry Yetu Inahitaji Ipate WATANGAZAJI WAKALI Kwenye Kuuliza Maswali, Wasimuonee Haya Wala Huruma Wanayemuhoji, Awe Msanii,Kiongozi,Mwanasiasa,Mwanamichezo!! Yani Wasimpe favour, Wambane Kwa Maswali Makali, Na Anapopanic Wasimuogope,Wakomalie ApoApo Ndipo Kwenye Content!!
Nyani alishangilia kusikia binadamu kafariki kwakuwa binadamu alikuwa akimfukuza kwenye shamba la mahindi.....nyani alisahau kuwa binadamu ndiye alikuwa anapanda mahindi. Msimu uliofuata Nyani akafa kwa njaa kwa kuwa hakuna aliyepanda mahindi #UchaguziMkuu2020
CO- EXISTANCE
Timo Werner is officially the most selected attacker in @OfficialFPL, with 49.7% of players choosing him. He’s 24% ahead of 2nd place.
Saying he’s going to flop, while quietly putting him in your Fantasy team. Rival fans, we see you. 😉