Unamkamata Mdude Nyagali eneo la Halungu-Mbozi, unamsafirisha hadi Itumba-Ileje (mwendo wa 85km). Unakwenda kumuhoji kwa makosa matatu;
Kujeruhi, kutoa lugha ya matusi na kuvuruga ratiba ya uchaguzi. Makosa yanadhaminika, unamnyima ukisema kuna maofisa wengine wanatoka Mbeya kumuhoji.
Unajiuliza, kwanini wasimshtaki Mbozi, sehemu ambayo alikamatwa akiwa anatuhumiwa kutenda makosa hayo? Au huko Mbozi hakuna vyombo vya kuhoji?
Kutoka Mbeya kwenda hadi Mbozi ni mwendo wa 61km. Kutoka Mbeya kwenda Ileje ni mwendo wa 106km. Hawapigi hesabu na gharama? Hawajali gharama?
Anyways, wanamsafirisha Mdude Mpaluka Nyagali kutoka Ileje kwenda hadi Mbeya. Mwendo wa 106km. Wanamuhoji. Wanakataa asionane na mawakili wake.
Baada ya hapo wanamsafirisha kutoka Mbeya hadi Dar es Salaam. Mwendo wa 821km. Wanamfikisha Central Police Dar es Salaam. Ananyimwa dhamana.
Umbali wa 1,012km unazunguka na mtuhumiwa wa kutoa lugha ya matusi? Mtatumia umbali gani kuzunguka na Joaquín Archivaldo Guzmán Loera (el Chapo)? Aaah!
Hizi gharama zote za kumsafirisha mtuhumiwa, haziwezi kupunguzwa kwa kumshtaki alipokamatwa, Mbozi? Hakuna wapelelezi huko? Hakuna Mahakama?
Au, kwanini Mdude Said Mpaluka Nyagali asikamatwe wakati mwingine wowote huko Mbeya akashtakiwa na siyo kumvizia akiwa Mbozi katika kampeni?
Tuhuma zote ambazo POLISI wanamtuhumu nazo Mdude zote zinadhaminika. Kwanini msimuache aendelee na shughuli zake au mumpeleke Mahakamani?
Wewe mkoma leo ndie ulieenda CENTRAL POLICE na wenzio wa TASK FORCE mkiwa mmevalia MASK na kumchukua MDUDE.
Una mtoto mdogo sana unaemsomesha kwa Damu za watanzania.
Una familia kijijini kwenu MBOZI wanaishi kukutegemea wewe ambae unatafuta kwa KUUWA WATANZANIA.
Hizi damu za watanzania zinazokulilia kila siku utazijibia siku ya mwisho. Usijifanye wewe ni kichaa kwasababu unavuta sana BANGI.
Usijitoe akili usiku wa leo ukazani maisha ya MDUDE utauachukua kirahisi hivyo. Acha kuwaza ujinga huo mara moja.
Muachie MDUDE nae ana watu wanaomtegemea kama wewe. Anawalisha kwa kipato halali tofauti na ww unaewalisha mpaka uuwe watanzania.
Tunatambua MAFWELE ndio boss wako, unamuamini sana ukihisi ataishi milele chini ya jua hili. Acha kupokea kila maagizo kama Ndondocha.
Muachie MDUDE USIKU HUU HARAKA WEWE MKOMA. Usijitie UPOFU KUWA HUONI HUU UJUMBE.
Fikiria watoto wako na familia yako kule MBOZI. Nimemaliza.✊🏾
REPOST 200 zimfikie MKOMA.🔥🔥
Kazi ya Serikali ni kulinda wananchi wake.
Clearly Serikali inaelewa sasa kuwa Gwajima hawezi KUFUFUA binadamu aliyefariki.
Swali:
Kwanini Serikali inaendelea kumuacha Gwajima azuge vulnerable people kuwa anauwezo wa KUFUFUA?
#FreeMdude#FreeMdude#FreeMdude@tanpol nyie ndio mlisema jana bado mnamshikilia @mdudechadematz kwamba kuna watu bado wanataka kumuhoji, embu tuambieni hapo Task Force wakiongozwa na Mkomwa ndio watu wanaotaka kumuhoji, au kumtesa, nyie mbwa tuambieni??
#FreeMdude
@MariaSTsehai@SuluhuSamia Mdude Sio mhalifu, ni mtanzania anaeipenda nchi yake kiasi cha kushindwa kunyamaza kila akiona viongozi wa Serikali wanakosea na kuharibu jamii na ustawi wa taifa.
Hii ndio namna mnawalipa wazalendo wa Taifa hili. Kuwateka, watesa, na kuwauwa?
Nafsi njema mnatesa, MTALIPIA.
@MariaSTsehai@SuluhuSamia Nchi inaongozwa na wahuni hii, anyway yule aliyemjibu @Advocate_Kisabo kwamba hawawezi kumpa dhamana mdude jana bado kuna watu wanakazi naye ndio awe wakwanza kutueleza kazi aliyokuwa anamaanisha ndio hii ya kumpeleka kwenye mateso? @tanpol hawa tunawachekea sana mjue?
🆘‼️MDUDE HAS BEEN TAKEN BY TASK FORCE TO BE TORTURED‼️🚨
Around noon masked men arrived to Dar es Salaam Central Police and took Mdude to unknwon location! A whistleblower inside the Police Force has confirmed name and number of the leaders
@SuluhuSamia this is #EnforcedDisappearance
Cc @UN_HRC @OHCHR_EARO
🚨WATEKAJI NA WATESAJI WAMEMCHUKUA MDUDE TUPIGE KELELE‼️🚨
Nyie @tanpol semeni su!
Leo mchana mmemkabidhi @mdudechadematz kwa task force waliofika wamejificha sura na magari wao
Mlitishia na kuzungusha watu waliokuja kumwona Mdude
Tunamshukuru askari mmoja aliyetupa taarifa
Mkuu wa Task force aliyefika kumchukua Mdude anaitwa Mkoma
Namba ya Simu: 0620402069
Mpigieni simu mwambieni amrudishe Mdude
Kesho asubuhi tumkute Central na awe mzima
@judiciarytz do what you are sworn to do!
#FreeMdude
@SuluhuSamia na IGP Wambura tutawapeleka @IntlCrimCourt kwa haya
#FreeMdude
#FreeMdude
#FreeMdude
Wanaondamana wanaandamana kupinga utekaji na mauaji ya watu wasiokuwa na hatia polisi wanaozuia haya maandamano wana nia gani wanatoa ujumbe gani ?? Kwamba watu waendelee kutekwaa??
hata kama ingekuwa tunakaliwa kwa nguvu na nchi nyingine, still, the occupying power would've the duty to allow people some freedom to state their opinions about the occupation. sembuse sisi tunaojidanganya eti ni demokrasia na tunajitawala. listen, we've never been a democracy!
Hili ni tukio la kulaaniwa vikali na wote ambao wanaamini katika demokrasia. Hali ya uhuru wa kisiasa inazidi kuzorota nchini Tanzania jambo ambalo linazua hofu si tu kanda ya Africa Mashariki ila dunia nzima. Ninasimama na uongozi wa @ChademaTz kudai kuachiliwa huru kwa @freemanmbowetz na viongozi wengine wa upinzani walio kamatwa.
#Tanzania's 🇹🇿 #Police on Monday intensified a crackdown on journalists covering the protests organised by the opposition in the commercial capital, Dar es Salaam over alleged killings and abductions of opposition officials, which authorities have banned.
Journalists from @MwananchiNews were detained at the Central Police Station in Dar es Salaam.
The arrests raise concerns about press freedom and the safety of journalists amid ongoing political tensions in the city.
Earlier, the #Tanzania's 🇹🇿 authorities arrested two main opposition leaders, the @ChademaTz party chairman, Freeman #Mbowe, and his deputy, #Tundu Lissu, in Dar es Salaam, ahead of planned protests.
Freeman Mbowe was detained on the street, while his deputy Tundu Lissu was taken from his home.
The pair were also briefly arrested, along with hundreds of supporters, last month.
Rights campaigners say President Samia Suluhu Hassan's government is targeting opponents ahead of local elections in December and a national vote in 2025.
Source: @MwananchiNews, @Reuters. 🇹🇿
Two weeks ago in #Tanzania, one of the country's top opposition leaders, Ali Kibao, was murdered. In August, over 500 of his colleagues were arrested. Now, today, authorities detain a veritable Who's Who, including @TunduALissu, @freemanmbowetz, and @godbless_lema. Panic mode.
It is obvious we have become a police state with no legality or legitimacy and those in charge don't give a damn who knows it. They have cloaked themselves in a web of impunity and a Devil-may-care arrogance. They are taking us to he'll and we are paying the fare.
@TitoMagoti Kuna wakati tukisema ni katili kuliko watangulizi wake wote japo anaficha watu wanarusha mawe.
1. Kawatishia akina @Mwabuk2Boniface kwa uhaini kisa deal la Bandari
2. Mbowe kampiga ugaidi. Not even magufuli tried that
3. Kawanyima watu wetu huduma miaka 4. Unforgivable