Ipo siku utatolewa kwenye friji kama soda au maji ya baridi ๐ค! Stay humble usimnyanyase mtu au kumuumiza mtu kisa nafasi yako au madaraka yako au uwezo ulonao! #AchaKiburi@Nkololotz @KisikaEB @DrMabula
Kwenye hii dunia hakuna kitu cha uhakika kama KIFO. KIFO ni hakika na kila nafsi itaonja mauti. Na ipo siku kila mtu atatolewa kwenye fridge kama maji. Tuombeane tu mwisho mwema. Ndio jambo pekee tunaweza kufanya ๐๐
Kuna ule ukurasa katika kitabu cha maisha yako utabakia kuusoma kimyakimya na utabakia nao hadi siku ya kiama sababu siku ukiusoma kwa sauti wapo watakaosikitika na kulia na wewe, wapo watakaofurahia na kusifia uzuri ama kukosoa ubaya wa ukurasa wako. #Kurasazamaisha
@TuliaAckson Mh. Take time pitia hizi comments za Watanzania wote. Wengi wamepoteza tumaini na wewe kama Bunge lako kwa ujumla. Umewasaliti wananchi kwa kutosimamia misingi ya watangulizi wako waliyoiweka ya kusimamia haki na kuiwajibisha Serikali. Waombe radhi wananchi
@MarekaMalili Ngosha huyu mzee heshima na Legacy yake ni kubwa sana! Kutumia picha yake kwa vitu vya hovyo kama pombe sio sawa! Mpe heshima yake asee! Imagine ukute picha yako imepostiwa na kuhusishwa na panyaroad au vibaka utajiskiaje?