@DominickMayunga@EduTalkTz Mjinga ni yule, anaye amini anaweza kushindana na "mwenye mamlaka", kwa kuingia barabarani na kuandamana.
.
Mwerevu ni yule anayeshindana na mwenye mamlaka kwa kupeleka malalamiko yake, kwa mgawaji wa mamlaka.
@KarokolaPa17032@mygtym@HecheJohn Umenena vizuri.
Una akili Sanaa.
Kama hamku mshilikisha MUNGU kumchagua, ni dhahiri tosha atotenda yaliyo mazuri kwenu, hvyo. Kuandamana haiwez kuwa suruhu. Mtaishia kufa na kuumizwa.
Rudi kwa MUNGU, anza upya
@MbuyaWalter@EduTalkTz Nyie na wale. Haviwezi tumika pamoja.
Ikiwa hujui matumizi sahii ya lugha yako, utaweza kumshawishi "mwanasiasa" akutendee mema..?
@mygtym@HecheJohn Kuandamana ni upuuzi na ujinga.
.
Kama viongoz wanakuja kuwaomba kura,ili wawatumikia wananchi, wakipewa kura,mnaona wamewageuka. Mnaangaika nao wa nini.
Rudini kwa MUNGU wenu, mlilieni dhidi ya dhuruma mnazoona mnatendewa na viongozi. mtapata majibu.
Rudini kwa ALIYEWAUMBA.
@AwesiAlly@MariaSTsehai Kuandamana ni upuuzi na ujinga.
.
Kama viongoz wanakuja kuwaomba kura,ili wawatumikia wananchi, wakipewa kura,mnaona wamewageuka. Mnaangaika nao wa nini.
Rudini kwa MUNGU wenu, mlilieni dhidi ya dhuruma mnazoona mnatendewa na viongozi. mtapata majibu.
Rudini kwa ALIYEWAUMBA.
@Arjun_992 @EduTalkTz@mwigulunchemba1 Kuandamana ni upuuzi na ujinga.