"Kwa wanasiasa Hawa wanaohama vyama kila siku, watambue kuwa wanawavunja moyo wananchi. Tunatambua wapo bado watu wengi watahama na kubadilisha njia, walitaka kwenda kwenye kijani na njano lakini sasa wamebadilishiwa njia, wanakwenda kwenye bluu na nyeupe" #OmariGindi
"Sasa hivi tumeamua na tutasimama imara kwa yeyote atakayeamua kukivunjia heshima au kukikosea adabu chama chetu tutapambana naye kwa nguvu zetu zote" #OmariGindi Mwenyekiti Chadema Jimbo la Kigoma Mjini
#MagharibuUpdates Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), #FreemanMbowe ameahirisha mikusanyiko yote ya chama hicho iliyopangwa kufanyika ikiwemo kuanza kwa mikutano ya hadhara Aprili 4, mwaka huu, kutokana na tishio la ugonjwa wa Corona.
"Nina kesi nyingi mahakamni unaweza ukaamuru lolote kwamba nifungwe au Ninyongwe but Me I don't care, mwenye mamlaka na maisha yangu ni Mungu tu sio wewe mimi sikuogopi wala siogopi mtu yeyote. #GodblessLema
"Nataka nikuambie DPP Mswalo kwamba mimi sikuogopi na uache kunitisha. Leo nilitaka kuongea na waandishi wa Habari nikizingirwa na Polisi lkn hawajafanikiwa kunipata sijui ndio mkakati wako wa kunibambikia kesi lakini mimi siogopi watishe hao wengine" #GodblessLema
"Wako waliomuuwa Akwilina na walishakamatwa wakahojiwa na wakaachiwa kwa maelekezo ya Watawala,tunataka Rais Magufuli atambue roho ya Akwilina itamlilia mpaka pale Askari waliomuuwa Akwilina watakapofikishwa kwenye vyombo vya sheria...'' #FreemanMbowe Mwenyekiti Chadema Taifa.
"Hatuwezi kufunga file la kesi ile bila kujua hatima ya Akwilina na maisha yake, tunaitaka Serikali na kipekee Rais, atambue roho ya Akwilina na mauti ya Akwilina itamlilia yeye na itawalilia wote wenye maamuzi kuhusu roho ya yule binti" Mwenyekiti @ChademaTz@freemanmbowe
“..Kuanzia tarehe 4 April hatutasubiri kibali cha mtu yoyote tutaanza mikutano nchi nzima, na kwa kauli nawatangazia viongozi wote wa Chadema tuanze kufanya mikutano ya hadhara...tukidai vitu viwili,Tume huru ya Uchaguzi na maandalizi ya uchaguzi”.#FreemanMbowe.
#MkutanoNaWaandis
“...Sisi tulipoyataka maridhiano ya Kitaifa hayakuwa kielelezo cha uoga, ilikuwa kielelezo cha kuitaka amani katika nchi yetu kwa sababu tunaona tunakokwenda siko…”.#MheFreemanMbowe.
#MkutanoNaWaandishi.
"Kuanzia Tarehe 04/04/2020 Tutaanza Mikutano ya haradhara na hatutasubiri kibari Cha magufuli" #FreemanMbowe Mwenyekiti Chadema Taifa
#tumehuruyauchaguzi
Jeshi la Polisi Wilaya ya Sengerema, limezuia kikao cha ndani kilichoandaliwa na Baraza la Vijana Chadema (@Bavicha_taifa ) Mkoa wa Mwanza, kwa kile kilichodaiwa ni maagizo kutoka juu.
Mgeni rasmi katika kikao hicho alitarajiwa kuwa mwenyekiti wa Bavicha @JPambalu
"Tumefika pale Segerea wakaanza kutupima Ukimwi hadharani sijui walifikiri sisi CHADEMA ni wadangaji Mungu amewaumbua majibu yametoka pale pale na sisi wote tukabainika kuwa ni wazima wa Afya" Salum Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA (Znz)
#MagharibiUpdates
#EstherBulaya akiugulia Maumivu Makali baada kupokea kichapo kikali kutoka kwa Askari wa Gereza la Segerea baada ya Kumkuta nje ya Geti la Gereza Hilo baada ya Kwenda kumpokea Mwenyekiti Mbowe baada ya Kuachiwa Huru.
Wamedhaminiwa wote. Watu 22 waliokamatwa na Kupigwa na Askati Magerezanje ya Gereza la Segerea. Lakini kuna majeruhi wengi. Karibu wote waliokamatwa wamepigwa na kuumizwa sana. Baadhi yao ni Henry Kilewo, Halima Mdee, Esther Bulaya, Kaunya Yohana. wengine wengi. #NoHateNoFear