Top Tweets for #HalimaMdee
๐ค Esther Bulaya is back โnyumbaniโโCCM!
Her political comeback is strategic, but what does it mean for her close ally Halima Mdee? Will Mdee follow her path or chart her own?
๐ Dive into the full analysis ๐ https://t.co/QLb9OjygHB
#EstherBulaya #HalimaMdee #TanzaniaPolitics #CCM #Chadema #PoliticalDefections

MDEE: MKATABA WA DP WORLD UMETAJA VITU KIJUMLAJUMLA
Akizungumzia mkataba wa #Tanzania na Kampuni ya #DPWorld, Mbunge #HalimaMdee amesema โTuna nafasi ya kubadilisha baadhi ya vitu katika Mkataba huu lakini najua hatutabadilisha
Ameongeza โKama Mkataba huu unagusa Mtwara, Tanga, Mwanza, Dar es Salaam na Kigoma kwani usizungumzwe kwa mapana yake? Tukiupitisha unaenda kuwa mkataba wa Kimataifa, chochote ambacho kimetajwa kijumlajumla kuhusu Bandari kitahusika.โ
Soma https://t.co/q7QJeKBJTY
#JFHuduma #Governance #TZDPWorld
#SupaBreakfast gazeti la #Nipashe ukurusa wa mbele wameandika 'DK. SLAA KINA MDEE WATOKE BUNGENI'
Supa Breakfast ipo hewani mpaka saa 3:00 Asubuhi #EastAfricaRadio
#DkSlaa #HalimaMdee #Bungeni #Chadema #Bulaya #WabungeniVitiMaalum
Za ndaani kabisa mtangazaji machachari wa @CloudsMediaLive anayesikika kwenye kipindi cha sports xtra @FKihamu na mbunge wa viti maalumu CHADEMA @halimamdee ni wapenzi na wanatarajia kufunga ndo hivi punde.
#halimamdee #farhankihamu #Kakuma

@levimaira_ @malickmansoortz @exaudwamtei @kissadaniel2 #SupaBreakfast kwenye #WinoMzito gazeti la #Mwananchi "SIRI RUZUKU YA CHADEMA KINA MDEE WAACHWA "
Cc @levimaira_ @malickmansoortz @exaudwamtei @kissadaniel2 #Magazeti #Chadema #Mbowe #HalimaMdee #EastAfricaRadio #TogetherTunawakilisha
#SupaBreakfast kwenye #WinoMzito gazeti la #Mwananchi "SIRI RUZUKU YA CHADEMA KINA MDEE WAACHWA "
Cc @levimaira_ @malickmansoortz @exaudwamtei @kissadaniel2 #Magazeti #Chadema #Mbowe #HalimaMdee #EastAfricaRadio #TogetherTunawakilisha
Kesho Mahakama kuu itatoa uamuzi kuhusu #HalimaMdee na wenzake waliowasilisha maombi ya kupewa kibali ili wafungue kesi ya kuvuliwa uanachama na #CHADEMA.
#TaarifaYaHabari

sasa kwa mfano sisi vijana tutajufunza nn kwa mtu kama #HalimaMdee kwenye siasa zake.... โmwanaharakati abusu picha za hayati yaaani!
"Kujitumbukiza kwenye kishawishi ili kujipima ulivyo na nguvu ni kama kwenda mbele ya kioo ukiwa umefumba macho ili kujua unavyoonekana wakati ukiwa umesinzi" Ivan Panin eti leo hii #HalimaMdee anashare dressing table na #JobNdugai? Ebo!!!!
#TutaelewanaTu @MariaSTsehai

@ItsTemba Usisahau pia #halimamdee ni graduate wa Sheria UDSM aliyefundishwa na Profesa Palamagamba Kabudi. Ukianza kumfikiria Mhadhiri wake basi hutopata shida ya kumtafsiri Mdee.
Ivi mnajua msaliti #HalimaMdee ni graduate wa sheria chuo Kikuu cha dar es salaam.
Anawezaje kufanya mambo ya hali ya chini namna hii.!?
Kmmk!
@HildaNewton21 @HildaNewton21 mdogo wangu, si wewe tu uliyeumia katika hili. Huwezi amini, nimeshindwa hata kula chakula usiku huu.. Kila nikijaribu kutafakari juu ya #HalimaMdee na wenzake, naishiwa nguvu kabisaaa.. Inauma sana... ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ
@Inyud_u @ThinkBigmind @masoudkipanya Wewe wataongea nini? Nani atakae kosoa na kupinga serikali itakapo jambo ambalo linautata... No one!! Labda kupiga makofi tu Hakuna ukosoji mkubwa utakao fanyika kama ule #lema #halimamdee #zittokabwe
Hata Nisipokuona Bungeni Bado Nitaendelea Kukupenda Na Kukuheshimu Pia Kukufwatilia Dada yangu @halimamdee
Naamn wewe Ni Mfano wa kuigwa kwa Watu Wengi Nchini
Mwenyezi Mungu Akupe Miaka Mingi Nakupenda
https://t.co/JNfGjYsmx8
#HALIMAMDEE
@humphreymoris Kwani #HalimaMdee ndie mwenye mamlaka ya kutoa pesa na kutengeza miundo mbinu? Ndie mwenye kupitisha bajet?
Utawadanganya wehu.
Octoba mosi, mwezi mtukufu kwa ajili ya mustakabali ya maisha yetu kwa miaka mitano,, kwa kwel nilikuw nxhasema xtokaa nipige tena kura lkn naona kuna chama kinaitaji kura yangu na n lazima nikapige kura #octoba28
#NiYeye2020 @kigogo2014 @freemanmbowetz #halimamdee
Chagua #Lisu
Last Seen Hashtags on Sotwe
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.5M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.9M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.5M followers

Bill Gates 
@billgates
65.3M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers















