Kifo chako kimetuachia funzo na kuwatambua wale wazalendo wa kweli na wale wafuata upepo kama bendera
Unaanzaje kunilazimisha nimkubali kiongozi ambaye hata haeleweki?
Endelea kustarehe kwa amani Mzalendo no.1 Afrika hakika ardhi yatu ipo siku itanena ukweli.
@AbroadTanzania ndugu mwandika utoporo, hayo ni maisha ya mtu binafsi, usilete habari za mipasho kwenye social media za watu wanaojitambua, kama ajenda yako ni chuki binafsi imalizeni private mambo ya kutoka na mke wa mtu sijui hawala hayo hayatuhusu kama wananchi, asante sana @Eric__Bernard 🙏
@HecheJohn@MsigwaGerson Hii ni awamu ya Samia ,pambaneni na madudu ya Samia acheni kupoteza muda na roho iliyoacha mwili otherwise hamna jipya zaidi ya kutajataja jina la marehemu🚮🚮