@mdudechadematz Ccm ni majizi tu, hawana chanzo chochote cha mapato kinachoweza kufika hata billion 20. Sasa pikipiki za billion 54 wamepata wapi hayo mapesa? Ni majizi tu.
Haki hii kazi ya kuchamba serikali na viongozi wake huwa inanipa amani ya roho ya furaha maana I know I’m making a difference in the world. Ile kazi ya umbea huwa nafanyia njaa tu..
.
.
Hiki kinyimbo cha shogangu king’ang’a nakipendaga mnoooo…..
#TANZANIA: Makamu Mwenyekiti wa @ChademaTz, @TunduALissu akiwasha wakati akitoa gari lake alilopigwa nalo risasi mwaka 2017, plate namba ya gari lake apewa mtu mwingine ambaye anadhaniwa kuwa Askari Polisi.
Zaidi: https://t.co/1FPb9eFE2M
Tangu jana nimekuwa NIKITAFAKARI. Hivi @tanpol walikuwa WAMELISHIKILIA gari la TUNDU LISSU kwa SABABU ZIPI ZA KISHERIA? Atakayenijibu SWALI hili kwa USAHIHI, nitampa ZAWADI ya TZS 5M. Nipo hapa “THE HUB”.😂😂
jINA LA NESI Veronica ALexnder maarufa kama MAMA DANGOTE litakuwa ni sehemu ya USHUDA Mkuubwa MUNGU ameutenda na GARI hili tukilinunua TUTAMPAKIZA 😍😍😍😍😍😍😍😂
@NajimShaibu@PKishamba Prisca alikua sahihi kabisa, hao jamaa ni kweli walisimamishwa ila kukawa na kutokukubaliana na uamuzi huo wa bodi wameamua kuwaacha waendelee kucheza.