MKASA WA NEEMA;Binti wa kidato cha Sita aliepitia unyanyasaji kutoka kwa mwalimu wake
Uzi👇
Neema anaanza kwa kusema “muda mwingine naona nyie wanaume wote ni makatili sana..".Baada ya kuulizwa sababu,anaanza kusimulia kisa kilichomuachia makovu yasiyopona,anasema👇
Nakala:10,000
0744187343
SURA YA KWANZA
Ngo! Ngo! Ngo! Sauti ya mlango ilimshtua Subira aliyekuwa katika wimbi la usingizi, mara sauti kali ya Mama Rama ikazidi kumchanganya, “we mwanaharamu mkosa sura unalala hadi mchana huu” Subira alifungua mlango huku akipiga miayo👇👇
UCHUNGU WA PENZI
0744187343
SEHEMU YA TATU[UNYAMA]
Nilijifikiria sana kuhusu amri ya kuvua nguo.Nilijiambia moyoni “bora nife kuliko nikubali kushiriki upuuzi”.Nikiwa sina hili wala lile mara Mwanajeshi alipiga simu na kuongea kwa sauti ya msisitizo..............
UCHUNGU WA PENZI
MWANDISHI:PETER ADOLFU SHAYO
0744187343
UZI👇
SEHEMU YA KWANZA[CHOZI]
Uchungu wa penzi huleta chozi,chozi lisilofutika kwa kitambaa,nikikumbuka nalia machozi yasiyokauka.Penzi limeukata moyo wangu vipandevipande na kuniachia maumivu na vidonda visivyopona.
Asubuhi nilivyoamka nikakuta meseji kutoka kwa @omari_manyama “kaka sijapata nakala yangu”,nikamjibu “uko wapi nikuletee sasahivi” akanipa Location na baada ya lisaa limoja nikakutana nae na kumkabidhi nakala yake, Ahsante kaka @omari_manyama Mungu akubariki kwa Support yako🙏
Kaka @omari_manyama mdogo wako nimeishi katika jamii ambayo nimeshuhudia na kusikia kuhusu unyanyasaji wa mabinti,hususani kunyimwa haki ya elimu,na unyanyasaji wa kingono, nimeshuhudia udhalimu wa wanasiasa,pia nimeshuhudia mapenzi ya dhati.Nimekuja na “BILA HURUMA" riwaya 👇
Kijana wetu @JiniKinyonga ameingiza kwa umma riwaya yake ya kwanza WIVU BUSTANI YA EDENI. Hapa akimkabidhi nakala ya riwaya hiyo Katibu Mkuu Kiongozi wa Kamati ya Kuisimamia Serikali @ACTBarazaKivuli Bi Lovelet Sheme
Kaka @omari_manyama Karani wa Sensa kaniuliza maswali mengi Ila haya mawili yameniumiza Sana👇
“umewahi kuomba kazi hivi karibuni”
“Ikitokea kazi utakuwa tayari kufanya”.Sina hakika kama yametoka kwenye kishikwambi chake,au amejiongeza!
KWAAJILI YAKO BRENDA:
Uzi huu ukufukie Brenda ,popote pale ulipo. Naandika Uzi huu nikiwa NImejawa na hisi nzito za upendo,naandika uzi huu nikijiona Sina thamani yoyote katika ulimwengu wa upendo pasipo wewe Brenda. Moyo wangu unaumia na kuteseka ,naomba nikwambie ukweli mrembo
Sehemu Ya Kwanza[Chozi]
Uchungu wa penzi huleta chozi,chozi lisilofutika kwa kitambaa,nikikumbuka nalia machozi yasiyokauka.Penzi limeukata moyo wangu vipandevipande na kuniachia maumivu na vidonda visivyopona.
**
Nakumbuka ilikuwa mida ya Usiku saa nne nikiwa nimelala👇