#ZanzibarBora Leo ni miaka 36 toka ulipotoka Wazanzibar wanakukumbuka kwa mambo mengi. Ulikuwa kiongozi mwadilifu na mchapakazi. Pumzika kwa amani Edward Moringe Sokoine.
#SokoineDay
Serikali imeweka mazingira rafiki na wezeshi ili kukuza kazi ya uwekezaji nchini,hii itasaidia kukuza uchumi na kutengeneza ajira za kutosha.
#ZanzibarBora#MIAKA8
Serikali imeweka mazingira rafiki na wezeshi ili kukuza kazi ya uwekezaji nchini,hii itasaidia kukuza uchumi na kutengeneza ajira za kutosha.
#ZanzibarBora#MIAKA8
RAIS wa Zanzibar na MBLM Dk.Shein amesisitiza kuwa yeye ndie Rais halali wa Zanzibar hivyo hakuna mtu anaeweza kumg’oa katika nafasi yake .
Source: @ikuluzanzibar#ZanzibarBora#Zanzibar