MIAKA 21 BILA RAIS WA KWANZA WA NCHI ALIYEPENDA MICHEZO, NYERERE
KADI namba moja ya uanachama wa klabu ya Yanga SC ya Dar es Salaam, inadaiwa alipewa hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ambaye leo anatimiza miaka 21 tangu kifo chake, Oktoba 14, mwaka 1999.
Dear Nyerere Uliowasomesha bure pale UDSM na kuwapa mkopo bure na madaftari bure na wakasafiri kutoka mikoani bure mpaka chuo leo wapo bungeni na wizarani ndio wanafanya maamuzi kwenye kila sekta ila wametuwekea makato 15% chini ya Bodi ya mikopo na 6% #NyerereDay
Hapa ni pale panapoitwa flyover ya Mfugale ( TAZARA ). Daraja hili lilitumia USD 65M. Limetatua tatizo gani? Mvua ikinyesha kama Jana ndio panakuwa hivi. Miradi mingi iliyotekelezwa na Serikali ya CCM ya Awamu ya 5 ni WHITE ELEPHANTS! Waste waste waste