Watu watafanikiwa upende usipende.
Watu watatajirika uwe unawaunga mkono au la.
Watu watashinda ukiwapigia makofi au la.
Chuki na Wivu wako haucheleweshi baraka zao.
MUNGU sio mjomba wako.
Mwandishi Eric Shigongo anasema ili ufanikiwe kwenye biashara unahitaji mambo matatu tu. Ambayo kwake ameyafupisha kama SEC...
S ➛Solution
Anasema "Babu wa loliondo watu walimfuata kwa sababu alikua na solution. Ukiwa na solution hata kama hutaki pesa watu watakuzalimisha uzichukue".
E ➛Experience
Watu wananunua experience anasema "mteja alipokuja kwako alipata experience kiasi gani, alihudumiwa vizuri kiasi gani. Kwa sababu lengo hapa ni retention ili kesho na kesho kutwa arudi tena kwako, aku recommend kwa wengine wasiokujua".
C ➛Convenience
Anasema "Huduma yako inapatikana kwa urahisi namna gani, ofisi yako ipo sehemu gani, availability yako ipoje. Ili mtu akufikie kuna urahisi kiasi gani. Hauwezi kuuza spare za pikipiki halafu duka lako linapatikana masaki".
Unatoka kanisani umeandaliwa chai ya maziwa na chapati za mayai na tikiti limekatwa vipande . Kitanda kimetandikwa vizuri. Nyumba inanukia vizuri. Unawekewa channel ya tv uipendayo. Huku anaenda jikoni kuaandaa lunch akiwa amejifung kanga tu
Ndoa ni nzuri sana na ni baraka
Hakuna aliye salama. Leo una kazi, kesho unafutwa. Leo una afya, kesho unaugua. Leo unacheka, kesho unalia. Maisha hayana mkataba wa kudumu.✍️
Good morning, FAM 🤝
Mambo mengi yametokea ambayo sikuwaza kama yangetokea, nimefanya vitu ambavyo niliwahi kuapa sitokuja kufanya kamwe that's why I will never judge anyone for their choices or their mistakes. Life has no manual. We are all doing the best we can and learning a lot along the way!
“Sijaona nchi iliyoendelea kwa michezo ya kubahatisha kubeti. Angalia kwenye redio angalia kwenye TV ni kubeti kubeti kubeti. Sasa hivi Watanzania wengi wanahimizwa kubet na wanaoneshwa fursa ya kubeti kuliko fursa ya kufanya kazi. Hili ni janga kwa taifa” Mchungaji Lwiza wa KKKT
12 IRONCLAD RULES FOR MEN
If you break them, life will break you.
This is not motivational fluff—it’s survival code.
Thread:
1. Never feed a horse you don’t ride.
Ukianza kutengeneza pesa, boresha vitu unavyotumia kila siku:
- Laptop
- Meza & kiti
- Kitanda & sofa
- Simu
- Mswaki
- Chakula bora
- Mavazi
- Gym
Vitu hivi ukiviboresha vinaweza kukuongezea ufanisi mara 10 zaidi.
Vitakupa uwelewa wa kifedha nje ndani juu chini. SOMA
1. Think and Grow Rich
2. RichDad Poordad
3. The psychology of money
4. The millionaire next door
5. Richest man in Babylon
6. Money: master the game
7.Unshakable
8. The intelligent investor
9. Your Money or Your life.
Mfanyabiashara anayetaka kufanikiwa lazima awe na ujuzi wa kifedha ktk haya:
1. Kuweka kumbukumbu za mapato/matumizi/faida
2. Kupanga matumizi kulingana na mapato
3. Kutofautisha mapato na faida
4. Kuweka akiba na kuwekeza faida
5. Kuelewa gharama za uendeshaji
6. Uelewa wa kodi
"Jipangeni kwa Kutua Salama" — Somo kwa Wasanii Wachanga
Wakati Harmonize (Konde) anaondoka Wasafi, wengi wetu tulimwona Diamond kama mtu mkatili sana — especially baada ya kusikia kiasi cha pesa alichotaka ili amwachie aondoke.
Thread:👇
KWENYE safari ya maisha usiruhusu kila mtu ajue kila hatua unayopiga. Jifunze kuwachanganya baadhi ya watu, hasa wale ambao hudhani wanakufahamu vizuri. Nenda mbele kama vile umesimama. Simama kama vile unarudi nyuma. Wajiulize umefikaje ulipofika. Watafikiri umefika ghafla lakini wewe unajua umbali uliotembea kufika hapo.
Men,
The higher the body count,
The poor her ability to bond with any man,
She will jump from any bed to the next without feeling any shame,
Her sexual feelings are numb, any man can smash.
How do you know her body count?
Observe her feet & ankles.
#MasculinitySaturday
Chambulo mfanyabiashara maarufu Arusha alihudhuria Arusha economic forum jana na akapata nafasi ya kuchangia. Chambulo alisema alianza kuosha magari akiwa kijana lakini leo ana miliki magari zaidi ya 100 ya Watalii, ila namna alivyofikia hapo ilikuwa tabu. Tafuta clip umsikilize