VIDEO:
Kutoka kwenye Chumba No. 1 cha Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam tunakusogezea kusikia kile ambacho Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amemwambia Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama hicho Brenda Jonas RUPIA
@SuluhuSamia@ccm_tanzania
This is what you did to the people of Tanzania for the sake of power and greed.
1st video: How do you justify shooting protesters as they were running away?
2nd video: How do you justify shooting people who were simply sitting in a café, not even protesting? This was about instilling fear.
3rd video: You went into residential neighborhoods and shot mothers who were simply sitting outside their homes. These children are scared forever.
4th video: This is not ordinary police ammunition. This is military-grade ammunition.
Tanzanian, today is good day, We are nolonger invincible to the world.
Our pain and our suffering is no longer being ignored by Western media.
American media is starting to care about our struggles.
We matter!!!!!
Thank you @nypost
https://t.co/oN0NjX064s
Kumbe CHAUMMA kiliwavuta kwa mbinu yao "Ubwabwa" kikawaahidi mikopo, "kikawatembeza na kuwazungusha juani" halafu wakakuta patupu!
Enways kuna Mtari kutoka katika Biblia Luka 9:60 unaosema “Waache wafu wazike wafu wao; bali wewe enenda ukautangaze Ufalme wa Mungu.”
Tuendelee kumuombea huku tukifuatilia kesi ya uhaini inayomkabili mzalendo na mtetezi wa haki za binadamu Mhe Tundu Lissu.
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 256
Anaendelea Mhe. Lissu
Waheshimiwa majaji kwa mujibu wa kifungu cha 192 cha CPA mahakama inaweza kukitumia kuamuru proceedings to be held in camera kama ushahidi utakuwa ni prejudicial to the public interest. Huo ndio utaratibu uliotumika hata kwenye kesi ya Mataka na Hatibu Ghandi
Kuna hoja imeletwa na wakili wa serikali Katuga kuwa eti mashahidi wa jamhuri wametoa ushahidi kwaniaba ya Serikali kwasababu tu ni watumishi wa serikali, hoja hii haina msingi wowote wa kisheria au kimantiki.
Kama ingekuwa ni kweli kwamba wafanyakazi wa serikali wakitoa ushahidi wanatoa kwaniaba ya serikali, simply sheria ingesema hivyo. Hii dhana kwamba watumishi wa umma wakitoa ushahidi ni kwamba Rais anakuwa ametoa, maana yake ni nini?
Wakili wa Serikali Katuga amesema mara kwasababu watumishi wa serikali wametoa ushahidi Rais hatakiwi kutoa ushahidi, Mara anasema Rais hawezi kutoa ushahidi, so which is which?
Mahakama kicheko😂😂😂
Mhe. Lissu anaendelea kusema kuwa hao mashahidi na viongozi wa serikali wanakuja kutoa ushahidi kama wajumbe wa Baraza la Usalama wa Taifa na hawaji hapa kama wateule wa Rais bali kama Wakuu wa hivyo vyombo
Mkuu wa Jeshi la Polisi atatoa ushahidi kama mtu ambae jeshi lake limenikamata na mjumbe wa sekretarieti ya Baraza la usalama wa Taifa.
Majaji Katuga anasema msiite mashahidi blindly kuna siku atamuita Samia Mungu na Rais sio Mungu hivyo anaweza kuja kutoa ushahidi, kama nyie mawakili wa Serikali mnadhani Rais ni Mungu kama alivosema yule Profesa basi ni nyie na sio sisi.
Marehemu Rais Mkapa alitoa ushahidi kwenye kesi ya Costa Mahalu kama Mkapa alitoa ushahidi kama Rais kwanini MPANGO asije.??
Katuga anasimama tena anasema waheshimiwa majaji Lissu analeta vitu vipya kama hivyo vya Mkapa basi na sisi tupewe haki ya kujibu
Mhe. Lissu anasema wewe huna unachokielewa. Mimi najibu pingamizi lako na wewe kama unataka kufanya rejoinder utaomba nafasi.
Katuga anasimana anasema wewe ndio huelewi.
Mhe. Lissu anamuuliza Katuga nyie mnasoma sheria wapi?
Jaji Ndunguru anamwambia Katuga babu tulia, mwenzako amalize na nyie mtakuja kujibu anachoongea Lissu.
Watu wanacheka 😂😂😂
Mhe, Lissu anaendelea kuwa kwa mujibu wa Sheria za Tanzania, hakuna utaratibu wa kutoa ushahidi kwa niaba ya mtu mwingine, hakuna utaratibu wa ushahidi wa Rais kutolewa na mtu mwingine kwaniaba ya Rais. Hivyo hakuna vicarious testmony katika sheria za Tanzania. Ushahidi wa Mapolisi akina Amin Mahamba na wengine ulikuwa wao personally na sio kwaniaba ya mtu mwingine.
Kuna kesi wakili Mrema wa serikali aliitaja hapa (kesi ya Jacobo) inahusu mahakimu, sasa nyie ni majaji yeye ameleta kesi ya mahakimu , nyie inawahusu nini?
Watu wanacheka😂😂😂😂😂
Mhe. Lissu anaendelea, kanuni iliyopo kwenye hiyo kesi ni kuwa hakimu anaweza kukataa ushahidi ambao hauna uhusiano na kesi husika. Sasa swali kwenu waheshimiwa majaji mashahidi na viongozi wa serikali ushahidi wao hauna uhusiano na kesi ya uhaini????
Hii ndio hoja ya mawakili wakuu wa serikali. Kesi ya Jacob haina uhusiano na kesi hii, sababu mashahidi niliowataja wana uhusiano wa moja kwa moja na kesi hii.
Kuna hoja aliisema wakili Mrema eti nataka taarifa, jibu langu ni jepesi tu kuwa nataka ushahidi na sio taarifa kama kweli kuna kesi ya uhaini hapa na sio ya kutunga tunga kama alivyosema JajiChande kwenye ripoti yake.
Waheshimiwa majaji naomba nimalizie kuwa hakuna sheria inayozuia mashahidi kupelekewa summons hata Rais anaweza kupelekewa summons akikataa ni jambo jingine
Pili ushahidi wao ni muhimu katika kesi hii, kama kweli kulikuwa na hayo matishio yanayodaiwa Rais, Makamu na Waziri Mkuu lazima wawe wanajua.
Part 257 itaendelea kwenye post inayofuata,
Naomba Repost yako,
Wakili Peter Madeleka amemwomba Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ampeleke mahakamani ili akabiliane na tuhuma za kudharau amri ya Mahakama Kuu zinazomkabili.
🚨 @gunnerblog:
Arsenal would like to augment their attack. Their focus has been on the left wing, but there is some flexibility around this should the right forward become available.
The club have long-term targets such as Kenan Yildiz and Julian Alvarez, and are waiting to see it the market renders one available.
Alternatively, they will have to pivot to alternative targets.