@heis_tivo@WideEdson Bana wote wamepata tuzo, ulaya hawaangalii sijui penati Wala nini. Ila sema greenwood ajawekwa kwenye kikosi cha mwaka badala yake kaekwa winger wa psg ambae anagoli 8 tu katika ligi watu ndo wanalalamikia hicho
@garicha_s@INFLUENCERjr Babu ile ni Madrid na jana refa kajitahidi sana kuwabeba, Ile ni clear penaty Yani yule asinge gusa ule mpira na mkono mpira ulikuwa moja kwa moja unaenda goli, inakuwaje sio penat? Kwa kuzuia goal scoring opportunity?
@MasigeTonny@goldenmvrs Dembele ni gifted player, lakini kwangu naweza sema rapinha ni Bora Kwa sababu dembele kacheza timu nzuri zote ila huu ndio msimu wake Bora sana tangu aanze mpira. Ila rapinha ubora wake umeanza kuonekana tang akiwa timu ndogo. Alafu rapinha ni mchezaj anayefanya mambo muhimu tu
@Canmaster_Oog@Nassibmkomwa_ Huko ulaya timu zote kubwa zinazocheza UEFA na Europe wanalalamika calendar ipo vibaya inasababisha injuries kwa wachezaji. Na wanalalamika fifa wanachoangalia kwa ni mapato na sio afya za wachezaji. Kwahiyo yupo sahihi utakuja kumuelewa badae
@mdudechadematz Kila nikila Hela betting nakatwa Kodi, na huu miezi miwili nimekula mkeka kama kichaa. Na unakuta nakatwa elfu nane, elfu kumi. Jamani hiyo sio Kodi
@Battheman002@CFC_KwesiPlug@ESPNFC@garna1k We Manchester united fans always finding one player to blame, it was Maguire, martial, now Rashford, and we believe on garnacho? Really garnacho? Garnacho is not even matured yet to handle the pressure of our team. Rashford did almost everything that every player would there.