@MhubiriWaTaifa@MariaSTsehai Kwa kweli.. Gas yetu iko wapi?? Walisema gas ya mtwara ndo itawasha umeme na hakutakuwa na tatzo baada ya hapo wakaja na mradi wa Bwawa je Gas anauziwa nani mana inayotumika nchini ni ndogo sna
@godbless_lema@MariaSTsehai Hao jamaa wa utalii tafuta acc zao wala haziko hata verified.. sa utalii sijui wanautangaza wapi. Ni bora waajiri wakenya wafanye hiyo kazi..kuna Dubai expo 2020 dunia nzima iko pale wanaenda kuonesha biashara na utalii katika nchi zao.. na hawajaenda hata kushiriki