Ukitaka kufika mbali na watu, kuna vitu simple sana:
Fika kwa muda.
Ukiahidi kitu, kifanye.
Ukiona tatizo, njoo na solution.
Usiwe chanzo cha drama kila siku. 😂
Jibu watu.
Kuwa mtu wa kuaminika.
Na zaidi ya yote, Sali na kuwa na roho nzuri 🙏🏽
Huhitaji kuwa genius.
Kuwa tu mtu ambaye uwepo wako unarahisisha maisha ya wengine, sio kuyaongeza stress.