TANGAZO, TANGAZO.
Kuna Kitu tumekaa na Kushauriana na Nimeona niwashirikishe na Nyie Gen-Z, Kwamba Tuamue kwa Pamoja Kuacha Kusapot hawa Wasanii wa KIBONGO
Kama Msanii Akitangaza Show yake Basi Tuhakikishe Tunafanya Kampeni ya Watu Kuto KUSHIRIKI SHOW YAKE
#Retweet Ujumbe huu
Ulishawahi kufikiria kuhusu warahibu wa madawa ya kulevya au watu wenye changamoto ya akili usalama wao ulikuwaje kipindi cha giza?
Unadhani ilipofika saa 12 jioni wao walijua hilo?, walienda wapi?
Unadhani kwa zile risasi wameuwawa wangapi?
Uongozi wa damu una raha gani?
ON BEHALF OF OTHERS AS TANZANIANS GEN Z (🇹🇿 🇹🇿)
WE HATE DIAMOND PLATINUM
WE HATE HARMONIZE
WE HATE RAYVANNY
WE HATE ALI KIBA.
WE HATE BILLNASS
WE HATE ZUCHU
WE HATE SHILOLE
WE HATE LEONARDO
WE HATE MWIJAKU BUTTON
WE HATE SALIM KIKEKE.
TAG, UNFOLLOW AND BLOCK THEM.💔🙏
Wanajeshi wa jeshi la wananchi kukubali POLEPOLE kupotezwa kama kuku ni USALITI kwa Polepole na wananchi wote kwa ujumla.
Hapo nyuma tulikuwa tunapotezwa sisi wakina sativa, walikuwa wanazusha story kuwa tumefumaniwa na wake za watu itakuwa visa vya mapenzi ndiomaana nilitekwa.
Ikaja wakatekwa wakina SOKA na viongozi wa CHADEMA kila kona ya nchi wakasema “Chadema wanajiteka” ili wapate misaada kwa wazungu.
Ikaja Father Kitima (Kiongozi wa KATOLIKI) Akavamiwa na kupigwa nusu ya kumuua ni kwa neema ya Mungu akapona, wamekaa kimya uvamizi ule mpaka kesho jeshi la polisi hawana ripoti juu ya uvamizi ule.
Sasa wamemteka BALOZI MSTAAFU POLEPOLE ambae aliwahi kuwa kiongozi wenu mlipoenda kutoa msaada kama taifa kwenye nchi aliyokuwa anatumika kama BALOZI “MALAWI”—jeshi limekaa kimya na mtekaji anajulikana kuwa ni Afisa wa jeshi “MAFWELE”.
Haya yote yanatokea sio kipindi cha miaka kumi, hapana haya yote ni ndani ya miezi 12 tuu, nchi inanuka damu. Leo kwenye familia 10 lazima ukute familia moja imefikiwa na utekaji.
Wakati wanajeshi wetu wa JWTZ mpo bize kulinda taifa letu kwenye mipaka yetu lisivamiwe na maadui huku ndani WANANCHI mnaowalinda wanapotezwa kama KUKU.
Hatuna msaada wowote zaidi yenu JWTZ (Jeshi la wananchi) tunawaomba mtusaidie kupambana na hawa WAKOLONI WEUSI watatumaliza. Sisi hatuna mafunzo ya kujilinda, ndiomaana tunalipa Kodi tuwalipe mshahara nyie mtulinde.
Kwasasa huko mipakani mnakotulinda bora muondoke, adui yupo ndani tayari anatumaliza. Na mfano mzuri ni aliekuwa kiongozi wenu leo tunaenda siku ya pili hatujui alipo.
TUSAIDIENI WANANCHI WENU.🙏🏿
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Hii ni ishara kwamba mtu anapokaa imara kwenye ukweli na haki, hata vizingiti vya woga, mateso, na adhabu ya kisheria havina nguvu ya kudhoofisha roho yake. Haki haiwezi kufungwa, haiwezi kunyanyaswa, na haiwezi kuzimwa. Nimefarijika sana nilipoona umetambua kuwa uliukosea umma katika siku za nyuma ktk utumishi wako ndani ya chama cha ovyo kabisa Duniani.Msamaha wako ni jambo muhimu kwa ushirika wenye nguvu kwetu sote. Mungu akubariki.
MANGE KIMAMBI Influence Yake Ni Kubwa Sana Aliwahi Itisha Maandamano Enzi Za MAGUFULI Wakamwagwa POLISI Barabarani Nchi Nzima Na JWTZ Wakatangaza Usafi
MANGE Akakiwasha Ubalozini Maandamano Yalikua Makubwa Na Ujumbe Ulifika.
MANGE Wa 2015 Karejea Tena 2025🔥
Mpeni RT 200🤝
Leo ni kanisa la mwenzetu, kesho ni lako. Wakristo na waumini wa dini zote, tukutane Jumapili kwenye makanisa ya Askofu Gwajima yaliyo fungwa kinyume cha sheria — tuombe, tusimame kwa imani, tukatae dhuluma. Ukristo si uhalifu! #KataaWahuni@jgwajima@MachumuKadutu@EmmausAskofu@karagwediocese@KANISA50