@ChachaMathias2@Samwel_Mbiliko@SharonMontana20@AmRosalinee Nyumba ya 20M ni mjengo brother 😂 mtu akianza kukaa nyumba ya 100k baadae aka hamia ya 500k hiyo sio matumizi mabaya ya fedha , huyo mtu ana version kubwa, na hawezi ku target kujenga nyumba ya 20M akaita mjengo obvious taget ni kujenga nyumba sio chin ya 300M
@Samwel_Mbiliko@SharonMontana20@AmRosalinee Ninacho kiamini mimi ni kwamba kwenye mafanikio kuna kuanzia chini kwaio Kama mtu amefikia level ya ku rent 500k mana hajakurupuka ila mtu anae rent 100k hawezi kunizid kiwango cha pesa ninacho ingiza, pesa haijifichi brother na hakuna asiependa kuishi vizuri.
@ShirimaYvonne Vipi Kama tukapeana michongo ya pesa alafu baadae tukawa wapenzi na tukaoana, nikiwa na fly kwenda nje tunaenda wote, imagine hilo penzi si litakua hot sana