@SharonMontana20 The rich find a way to increase income and cut expenses and the poor find a way to increase income and increase expenses......ningejua hi five years ago ningekua mbali by now๐ฅฒ
@Kallyfive@FaradayMtz01@Hekmlik19 Kukosea ni sehem ya kujifunza ila ugeni duniani isiwe chaka la kujifichia....ni vizuri kujifunza kwa makosa ila ni vizuri zaidi kujifunza kwa makosa ya wengine
@500milions@SharonMontana20@AmRosalinee Kila mtu ana tafsiri yake ya maisha mazuri na sio kwamba kila mtu anaishi sehem ya bei nafuu kisa hawezi kuafford sehem ya juu kidogo wengine wana mipango mikubwa inayowalazimu kujinyima sana, pia kujinyima is not for everyone bro....
@SharonMontana20 The rich find a way to increase income and cut expenses and the poor find a way to increase income and increase expenses......ningejua hi five years ago ningekua mbali by now๐ฅฒ
@LocalFundi_ Ikitangaza kitu kabla hakijakamilika your subconscious mind gets an information of completeness so hata execution yako haiwezi kua sawa na ukiwa private during the process...hamna uchawi wala kulogwa๐