Impunity!
Vyombo vya dola vipo, wanaona watu wanabebwa kwenye malori, sheria zetu haziruhusu.
IGP yupo, mkuu wa usalama barabarani yupo.
Watu wanatumia kwasababu ccm wako juu ya sheria.
Aibu kubwa kwa ccm na vyombo vya dola, Nchi yetu inahitaji ukombozi wa haraka.
Watu wetu wanateseka kwasababu ya umasikini, umasikini wa kipato na uelewa kwa pamoja.
#NoReformsNoElection
Mnakumbuka niliwaletea hapa taarifa ya ajali ya wanaCCM na @ccm_tanzania na @tanpol walikalia kimya!?
Basi video imepatikana kupitia Pastor Kabigumila anaeleza ajali ilitokea kati ya Mvumi na Kilosa
Tukiwaambia wananchi msiende mikutano ya haya madhulmati maana mtatolewa kafara mnashupaza shingo! Haya!
#TutaelewanaTu
#NoReformsNoElection
Nawakumbusha tu huo umati wa CDM hakuna msanii hata mmoja anatoa burudani, wala haluna bongo muvi, watu wanajadili maslahi ya nchi..Burudani tunaenda kitambaa cheupe