Katibu wa BAVICHA Jimbo la Kibamba ndugu Nice Sumari @NiceSumari91109 akimshawishi kijana wa Mtaa wa Mji Mpya, Kata ya Kwembe, Jimbo la Kibamba kujiunga na CHADEMA leo tarehe 11 Mei, 2025.
#NoReformsNoElection
Mwenyekiti wa BAVICHA Jimbo la Kibamba ndugu Nuru Mcharo akimshawishi kijana wa Mtaa wa Mji Mpya, Kata ya Kwembe, Jimbo la Kibamba kujiunga na CHADEMA leo tarehe 11 Mei, 2025.
#NoReformsNoElection
Katibu wa Kamati ya Uratibu ya BAVICHA Mkoa wa Ubungo ndugu Nicholous Mvanda @NicholousMvanda akimshawishi kijana wa Mtaa wa Mji Mpya, Kata ya Kwembe, Jimbo la Kibamba kujiunga na CHADEMA leo tarehe 11 Mei, 2025.
#NoReformsNoElection
Bavicha Ubungo tunawakaribisha vijana kutoka maeneo yote ya nchi katika maandamano siku ya kesho September 23.
WHEN YOUTH UNITED WILL NEVER BE DEFEATED
Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Ubungo ndugu @NicholousMvanda pamoja na Katibu wa BAVICHA Jimbo la Kibamba ndugu @NiceSumari91109 wakiendelea kuhamasisha vijana ngazi ya matawi kushiriki maandamano ya tarehe 23 Septemba, 2024.
#simamauhesabiwe
Vijana Mkoa wa Ubungo tunaelekea Mbeya
Pamoja na mambo mengine tumesikia taarifa Polisi wamewakamata vijana wenzetu wa Temeke.
Bavicha Ubungo tumechukua jambo hilo kwa uzito,tupo imara tupo sawa tutachukua hatua zozote tutakazoona zinafaa kukabiliana na uhuni wa namna hiyo
Leo Juni 16 Mwenyekiti wa Bavicha Mkoa Ubungo @ntele_bh ameongoza kikao cha Kamati ya Uratibu Mkoa wa Ubungo.Pamoja na mambo mengine amejadili maandalizi na ushiriki wa Bavicha Mkoa wa Ubungo kwenye Siku ya Vijana Duniani itakayofanyika August 12,2024
#UbungoKwenyeRamani
“Bila kunitaja, Kwa niaba ya wanangorongoro naomba nimlipie mweshimiwa Lissu kwa kuwa amekuwa mzungumaji ya wanangorongoro, na watanzania kwa ujuma. Hivyo basi nitaliapia miaka 8, ambayo ni 960,000. Baadaya wiki tatu kutoka sasa. Mimi sio CHadema. Michango yangu natuma kwako.”
“Ninajisikia vizuri sasa tofauti na mwanzo, nakula mwenyewe na ninakaa. Msijali kila kitu kitakua sawa. Mniombee,”
kwa mara ya kwanza Mh. Proffessor Jay ametuma salaam kwetu.