@Joe29286594@IAMartin_ Karibu ukuje ucheck vile vipindi uvipendavyo ghetto sio kunguni nnavyo na hakuna muangaliaji hata iwe Weekend nakupa mualiko Joe.
@Deo_Salekio @isack_kazila @GillyBonnyTv Mimekuelekeza tu rud kwa mwamposa maana kule kuna shida na changamoto nyingi kuliko hata ya uyo dogo uliekosoa km makosa kwa upande wa watu rejea kwa upande Mwamposa n mfano mdogo tu wa kuchungulia ni makosa mangapi huwa yanafanyika na hufumbiwa macho tena kipuuz tu.
@Joe29286594@IAMartin_ Silali na mkojo ndan, ila punguza kujiona kwako mzee na hizo dhalau zako pia hazifai punguza chuki vita ya kidini ni mbaya zaid acheni hizo mambo ni ushamba kwa TZ ya leo, nikutakie siku njema Bro.
@Joe29286594@IAMartin_ Hizo dharau zenu ndo huwa mnaangukia pua w ukute hata king'amuz tu unasubri shemeji yako alipie uweke miguu juu hapo bado unakuja kusumbua wanaume mitandaon uku.
@byser27@GillyBonnyTv Wao kila siku wanaogelea mafuta na kupakwa upako km mazuzu hakuna mtu anawaingilia sijui huwa wanajina vipi hawa jamaa hawajistukiagi kabisa juu ya upuuz kwao.