Tunafurahia kuchaguliwa kwa Prof. Mohamed Janabi kuwa Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika @WHOAFRO! Shukrani kwa #Afrika 🌍 kwa uungwaji mkono wa kiwango cha juu. Pongezi @ProfJanabi — pamoja kwa afya bora! @SuluhuSamia@WHO @moh_tanzania @mfa_tanzania 🇹🇿
@millabeats89
Mshauri wa Rais wa Tanzania Masuala ya Afya na Tiba ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Profesa Mohamed Yakub Janabi ametangazwa rasmi kushinda uchaguzi na amechaguliwa kwa kishindo kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwenye uchaguzi uliofanyika leo May 18,2025 Geneva.
Uchaguzi huo umefanyika kuziba nafasi ambayo iliachwa wazi na aliyekuwa Mkurugenzi Mteule wa nafasi hiyo, Dkt. Faustine Ndugulile baada ya kufariki ambapo Prof Janabi alikuwa ni Mgombea pekee kutoka nchi za kusini mwa jangwa la Sahara, huku wenzake wanne wakitokea nchi za Afrika Magharibi akiwemo Dkt. N’da Konan Michel Yao (Ivory Coast), Dkt. Dramé Mohammed Lamine (Guinea), Dkt. Boureima Hama Sambo (Niger) na Prof. Mijiyawa Moustafa wa Togo.
#MillardAyoUPDATES
Hongera sana Prof. #Janabi kwa kichaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani @WHO Kanda ya Afrika.
“Building a Healthier Africa Together”. Mungu aendelee kuwa kiongozi wako Mkuu.
Prof. Janabi akimpokea Waziri wa Mambo ya Nje tayari kwa Upigaji wa Kura wa Shirika la Afya Duniani kwa Upande wa Afrika ambapo Mgombea wa Tanzania Prof. Janabi Anagombea nafasi hiyo baada ya kifo cha Dr. Faustine Ndugulile kutokea . Rest in Peace Ndugulile #janabi4whoafro
We are here for Prof @ProfJanabi for Tanzania 🇹🇿 for our President for our Continent! Pray for Janabi, he is next!! Janabi for WHO Africa @sofiabyanaku
@Mirembe_hosptz Watu wapatapo ugonjwa wa akili ni sehemu Fulani tu ya akili huathirika kwa kubadilika kwa utendaji kazi wake sehemu hiyo iliyoathirika...lakini sehemu nyingine ambayo haijaathirika huendelea kuwa salama na functional tu.. Kwa hyo kinachotibiwa ni sehemu tu iliyoathirika..
📍St. John’s University, Dodoma
Few reasons why mental health awareness is important in today’s world. For youth, it helps in early identification and intervention, which can prevent long-term mental health issues. Additionally, it promotes resilience and coping skills,