CDM wanajua kwa nguvu yao hawawezi kutoboa!. Kinachofanyika sasa ni kuhadaa raia. Honestly vijana mnatumika vibaya sana, acheni wanasiasa wamalizane kisiasa
@matonyameth@godbless_lema Issue so ukijani wala wekundu..
Issue ni amani yetu, wazee wetu wamepambana sana kuitafta. Kwa akili zako usikubali kuiona ukipotea.
Hakuna nchi imepata mabadiliko sahihi kwa hii njia