@ummymwalimu Hakika inasikitisha , lakini Mh tusiangalie upande mmoja tu wa kuwahukumu .
Masirahi ndogo, idadi ndogo mazingira magumu ya kazi,na kutoajili Afisa wauguzi(NO) wa kutosha hili jambo litazidi kuutesa mfumo wa utoaji huduma kama hayatashuglikiwa.
Siku ya Leo mapema tulipata nafasi ya kutoa Elimu juu ya ugonjwa wa Ebola Magufuri Bus Stand .
Tuungane kuelimishana kuepuka ugonjwa huu hatari .@sohictz@unsata_muhas@wizara_afyatz
It was a great honour to get chance in 6th Conference of African Federation of critical care Nurses &1st conference of the Tanzania critical care Nurses Association (TCCNA) together with Inauguration of TCCNA under effort made by Dr . Fatina on the right. @t_ccna@unsata_muhas
Strive to improve the quality of your nursing care, make sure you are doing your very best, remember the ICU bed doesn't choose. Bring critical care nursing to a level where you are not worried if you are to sleep on that bed tomorrow - Dr. Halima Kabara from AFCCN.
@WFCCNurses
@tanna_tz@unsata_muhas@wizara_afyatz Ni imani yangu kwamba mambo yafuatayo yamejadiliwa na kutiliwa mkazo,
~ Scheme of service inayochanganua na kufuata idadi ya miaka waliyosoma chuoni hasa kwa Nurse officer (NO)
~Umuhimu wa Wauguzi na wakunga katika ukaguzi wa huduma za Uuguzi na Ukunga
@tanna_tz@SuluhuSamia@wizara_afyatz@a_baluhya@MgooIWS Ni hatua kubwa Sana kuona Sasa wauguzi tunawaza na kuona kila fursa zilizopo kwwnye afya ni zetu wote ,
Lakini mbali na hilo huu ndo wakati sahh wa kufatilia na kukumbushia agizo la Mh Waziri mkuu kuhusu mabadriko ya malipo kulingana na miaka ya masomo ambayo ni 3 badala ya 4.
@tanna_tz Tunashukuru kwa hatua hyo iliyofikiwa ,ila bado Kuna mambo mengi ya kufatilia na kutatua kwa uwazi ,haki na kutomuogopa mtu !
Sheria zipo zinazotuongoza ila tuziangalie pia na Sheria zenyewe mabadriko yanahitajika kwa Kasi tuko nyuma ya mda wauguzi Tanzania 🇹🇿
@KaswahiliKuyan@tanna_tz Kweli mkuu , haifai kukimbilia leseni za watu wakati huo makosa mangine yanatokea Bahati mbaya , wakumbushwe na kurekebishwa sio kufukuza