Uelewa wa kisiasa ni muhimu sana katika kujenga siasa ya kweli na mwanasiasa wa kweli katika jamii. Hii inamaana ya kuwa ni muhimu na nilazima kujenga dhana halisi ya siasa na wanasiasa mbali kabisa na mazoea yetu.
🚨🇧🇫Touches, the movements, the intelligence in finding spaces and the simplicity in his decisions🙌🙌, that’s what makes him special
He doesn’t play for the crowd or chase unnecessary manjonjo he plays with purpose, he understands when to slow the game down, when to move between the lines and when to make the decisive action
THAT ASSIST 🙌🙌🙌🤐
HE'S FU**NG BACK
@SoleSoleka@VungaEl74 Rejea kesi ya zito kabwe utaelewa kuwa kiongozi wa kuchaguliwa kupitia chama akivuliwa uanachama anakosa sifa ya kuwa kiongozi katika nafasi hyo. Hata wale covid19 ilikuwaga ubabe tuu ila hawakustahili kuendelea
Dini za viongozi zinatusaidia nini?
Mwananchi gani amewahi kufaidika rais alipokua wa Dini yake?
Uzanzibari wa rais inahusianaje na madudu yanayotokea?
Tumekua na marais watano watanganyika, ilikuaje?
Hoja ya dini ya rais au upande anaotokea ni uvivu wa kufikiri na kukosa hoja