@Sativa255 Hata mm hii kitu huwaga najiuliza unakuta nyumba mfano south inauzwa 700m ila bongo nyumba ya ibafanana na hiyo hiyo location sea view unaambiwa billion 2
@Mr_castleblack@Wakazi imagine unakaa miaka mitatu mfululizo unamuona mpinzani wako anachukua eufa halafu ww kwenye ligi umempiga karibia mechi zote tena kwa goli za kutosha
@28_prb@Maryftaddoh Mara ya kwanza nakuja Dar kitu nilichoshaanga nilichotarajia kukiona katika hili jiji cjawahi kukiona mpk leo ... jiji halijajengwa kwa mpangilio kila kona uswahili cjui mpango miji haikuwepo
Mtu akiweka email yako kwenye hii website inaonyesha location uliyopo, locations ulizokuwepo, mitandao ya kijamii uliyotumia sometimes mpaka namba za simu😳