NYASA TUNAKWENDA NA NANI ..?
Usikose kufuatilia MDAHALO kati ya magwiji wa siasa Nchini Tanzania, Mch. PETER MSIGWA na JOSEPH MBILINYI (SUGU).
Mdahalo huu utarushwa mubashara kupitia Runinga ya STAR TV na mitandao yake ya kijamii katika kipindi cha MEDANI ZA SIASA, siku ya Jumamosi ya 25/05/2024 kuanzia saa 3:30 Usiku mpaka saa 5:30 Usiku.
Tumetoa nafasi kwa watu wachache ambao ushiriki wao ulishathibitishwa kushuhudia mtanange huo Studio Live,
Lakini pia kwa wale watakao kuwa wanafatilia kupitia runinga watapata fursa ya kuchangia kupitia ukurasa zetu za mitandao ya kijamii na kwa njia ya simu.
Ulinzi mkali utakuwepo eneo la tukio wakati wote wa mjadala, Wote Mnakaribishwa.
@chiefodemba@MsigwaPeter@TheRealJongwe
The Point here is:
Kuna limitation ya traffic VSAT inaweza kusafirisha, imagine subsea cable inasafirisha zaidi ya 1.2Tbps, hakuna satellite inaweza kufanya hata nusu ya hiyo.
Kingine kwenye Satellite, there's usually a fiber optic cable connection kati ya ground station...
Siku hizi nikipenda Bidhaa au Huduma, nanunua hisa za kampuni (haijalishi ni ndogo kiasi gani).
Imagine toka iPhone zimeanza kutoka, badala ya kununua simu ungenunua hisa za Apple Inc. ungekuwa umenunua hiza za maybe $10,000… ambazo by now (depending on when you invested) ungeweza kuwa na kama $150,000 na pia pengine ungekuwa unatumiwa iPhone za bure by now! 🤷🏾♂️