@ze_mandevu Mimi ni wakutupwa ,,kwasiku naingiza 7000 kwahiyo Niki Iba Iba na nsipo kula mchama ndo naludi gheto na 6000 nikinunua pon pon za mtoto anga za buku maji ya kunywa buku naingiza na ghto na buku tano dadekiiii
@_Maxmily Mimi wachezaji wa uingereza huwa siwaamini kwa asilimia zote ni matapeli tuu ,,,mfno Rashid ,lingard,Trent,Madison,maount ,palmer rogders having consistency kabisa Yan dele ally Yan niviijizi
@arusha_icon Fifa waliweka mazingira ya kuulinda mpira ,,kiongozi wa mpira anatoka kwenye familia ya mpira ,,,sio kuucheza Bali kiongozi wa TFF ajae anatoka ndani ya uongozi uliopo madarkani Yan unaweza Kuta mhasibu ,katibu,au an Toka kwenye wajumbe Yan ni humo humo kwanini unazan
@Cutyhusnah Toka nchii imepata uhuru wewe unatiki tuu na kwasababu umezoea kutikii,,,,hii nchi inahitaji taasisi imala sio mtu, taasisi ambazo Zina nguvu zenye ushawishi hatakama sanduku la kura ikaamua chama tawala kitoke basi basi chama kinacho fuata madarkani nacho kinatolewa kwa kura
@Cutyhusnah@CoolestDudeOnX Kuna muda Dunia inaongea yenyewe bila hata kutumia nguvu,ulimwengu huu ni stage Kila nafsi kufanya aliwezalo ilikuendelea kuishi kwenye Nuru pasi na uoga