@Dr_Thadeus_09 Umuhimu wa mtu unaonekana kwa namna anavyotoa huduma yake unaweza ukawa Daktari au muuguzi lakini Ethics kwako ikawa 0 hapo hata ufanye nini aseeeee watu watakukunjia tuuu..
ILA NAKUKUMBUSHA VITA YA WAUGUZI NA MADAKTARI HAITAWAHI KUISHA 😀😀