Habari, Karibu kupata picha kwa ajili ya sehemu utakayoichagua kuiweka, kuna A3 Tsh 50,000 na A2 Tsh 70,000 kwa upande wa A1 ni kwa oda Maalum,Picha ni wooden frame, hizo ni Baadhi ya picha nilizopiga, karibu sana kutoa oda yako sasa. Whatsapp 0621002226 au DM
📸 @fredynjeje
Sasa ni wakati sahihi wa ku #ZuiaUkatili wa kijinsia katika tasnia ya habari kwa kubadili mitazamo hasi ya wale wenye dhana potofu kuwa wanawake hawawezi kutekeleza majukumu mbalimbali yanayofanywa na wanaume. #WanawakeWanaweza#WomenInMediaTz@tamwa_