Naamini sana katika SECOND CHANCE. Kama ambavyo nilihurumiwa na kupewa nafasi nyingine, basi na mimi huwa natoa kwa wanaonikosea kwa namna yeyote ile. Nimetoka mbali sana.
Hii ni video ya kubadilika kwangu. Share kwa wengine https://t.co/bxr7GDKseo #Testimony#confession
I salute everyone who went to Kisutu today & vehemently defended the law of the land. Your audacity to debunk IGP Sirro illegal order & express your feelings by peaceful protest is a noble cause. You are our heros. Kesho Tena #FreeFreemanMbowe#MboweIsNotATerrorist#MboweSioGaidi
@HKigwangalla MNAKAZANA NA MAMBO YA CHANJO ILI KUPOTEZEA TOZO MLIYOTUBAMBIA. BUKENE HATUTAKI HABARI HIZO MNATUTOA KWENYE MJADALA WA TOZO. TOZO, TOZO, TOZO NI UKATILI KWA WANANCHI MASIKINI WA NCHI HII.
"Naitwa Rachael Dickson Mushi elimu yangu ni Diploma in Mass Communication, natafuta kazi kama kuna mtu anahitaji mtu wa kumuuzia duka au supermarket namba yangu ya simu ni 0682038114, natanguliza shukrani."
Naomba nisaidie kuRt kwenye TL yako yupo mtu anaeweza msaidia Rechael
@TambaraRamadhan @HamadHamis @ProsperMasau Mpka kumaliza darasa la Saba matumizi ya R na L kwenye sehemu ambazo sio sahihi zinatakiwa zibaki kwenye matamshi tu!! Na sio kwenye maandishi la sivyo elimu haijamsaidia kitu
@rwabudugu@YourFrenchFry Na hata kwenye soka waliocheza Ni Simba na sio sisi, Simba walikua wakisapotiwa na watanzania tofauti tofauti(mashabiki) ila Coco yeye alikua anatusagia kunguni je yeye alipata nn baada ya Simba kufeli?