@Mosesmachumu10@Khalidchukuchuk Shida c kucheza UEFA shida alicheza na Timu gan na alikua timu gan Bro kucheza EPl sio Matako yaaan kila mtu anayo na kumbuka alicheza Newcastle ya moto sana hapa Tiote ,Demba ba, so show respect bro Alaf banda Uefa hakucheza pind anakuja simba ndo timu imeingia Uefa makundi
@Khalidchukuchuk Shida ni kwamba Habari zako za usajili zimeelea kwa @SimbaSCTanzania tu sasa Kua na weredi bro tumechoka na unazi wako bro kuna transfer nying za kudiscuss haswa za @azamfc jifunze hilo 🤷♂️