@tripleAAA2024@iboysean Sure bro me nimehaso miaka kumi nimepata ajira June 2025 interview moja tyu ila application nilizo fanya portal ni zaidi ya 25 toka mwaka 2015
Note wakati wa mungu ni wakati sahihi
@mangekimambi Sijawahi comenti kwenye page kwa ukubwa wa account zako ni bora ukaweka mbali habari za u.s.a na Iran utapoza fans wengi wenye kukuamin na kukubari just ushauri tyu!!!!
Nakukubari sana
@VodacomAccelTZ@Funguo_Tz@_futureready Yani voda ni wasenge sana kwenye swala la internet ya mtandao ukisoma H+ unasoma kwa kusuasua ukisoma 4G hata sms ya what's app haifiki boresheni huduma mnawateja wengi sana ila mnazingua