@BinKombo3 @sheby_yahya Jee unajua pia alikuwa akipingana sanaa bidaaaa na kulingania katika sunna kwa kadri Allah alivyomuezesha? ila kwa nn ww ni mzushi?
@allyj416@JerryJamali Bidaa ni jambo jipya la dini ambalo Mtume wako na swahaba zake hawakulifanya. Zingatia kuwa jambo hilo liwe ni jambo la dini lenye lengo la kujikurubisha kwa Mola wako, usije kutoa mfano wa busati rangi feni gari nk uwe mueleke nasisitiza liwe jambo la ibada au dini,