@swahilitimes Zawadi ya Bure tu!
Engineering is Multidisciplinary Expertise, no one can we stand as the Champion over a solution without the integration of various experts
Hongereni sana kwa ushindi mkubwa ambao wajumbe wamewapa leo. Sasa mkafanye kazi na mkaheshimu imani mliyopewa na wanachama na wajumbe wa mkutano mkuu. Nimefurahi sana mmeshinda. Retweet this message siku ya Jumatano. Mimi nitakuwa busy na furaha siku hiyo.
@millardayo Uzembe wa kupitiliza kiwango cha lami inabidi ukomeshwe na maulana husika. Nawaombea uponyaji wa haraka majeruhi wote. Mungu awalaze roho za marehemu,mahala pema peponi, AMINA
@jmkikwete Hakika unaendelea kuacha alama za uongozi, kuongoza watu ili wenyewe watawale maono yako. Nikupongeze kipekee kwa kutambua mtendaji mkuu wa kutengeneza sera ya afya na uanzishwaji wa Taasisi hiyo. Na pia kwa kutoa pongezi kwa jitihada za awamu zilizokufuatia