@JamiiForums@CarolNdosi Asilimia 99.9 ya viongz wa Tanzania wanatafsiri harakati ni uchochozi wa kisiasa, jamani harakati ni msimamo wa kutetea haki na kuto kupindisha sheria, sasa nawaomba msimnyanyase mwanaharakati wetu, bi Fatuma karume
@eastafricatv Mambo mangapi yameonekana ya kisiasa wazi wazi na ww kama jaji mkuu uliangalia hizo kesi zikipitishwa hukumu ambazo sio za halali MF. Kufungwa kwa sugu unafikiri ile hukum imetokana na nn? Acha kujigonga gonga jaji wetu be hold and fearless
@bongofive@YouTube Hakuna serikali ya ccm, kuna serikali ya Tanzania, ccm imepewa dhamana tu yakuisimamia,ndio maana nakuambia ww bado bwana mdogo kwenye siasa, halafu ndio unajifanya unajua nyamaza bwana utachekwa
@SarungiJ@mange_kimambi Nafikiri unajua kwnn anaitwa hivyo, mm nilifikiria utahoji Hawa polisi wanatumia Sheria gani kuwa kamata watu kwakuhamasishana haki yao ya kikatiba ,ningekuona wa maana sana lkn kwa hapo still is ldiot
@KenanMrigo @CarolNdosi@KennedyMmari Siku zote huwezi kuua mti bila kung'oa mizizi, naona anacho kifanya magufuli ni kukata shina akiamini ataweza kuua mti kumbe laaa! Kuna viongozi wakubwa waliridhia mikataba hiyo sasa leo anakuja kuwaonelea dagaa na mapapa anayaacha, ataondoka madarakani hajafanikiwa hili swala