Case to answer.
Mashahidi wa TAL.
1. Samia S. Hassani
2. Philip I. Mpango
3. โ Kasimu Majaliwa Majaliwa
4. IGP Wabura
5. CDF Nkunda
6. Mkurugenzi TISS
7. Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Ramadhani Kingai
8. John Mnyika
9. Aman Golugwa
10. John Heche
11. Brenda Rupia
Case to answer.
Mashahidi wa TAL.
1. Samia S. Hassani
2. Philip I. Mpango
3. โ Kasimu Majaliwa Majaliwa
4. IGP Wabura
5. CDF Nkunda
6. Mkurugenzi TISS
7. Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Ramadhani Kingai
8. John Mnyika
9. Aman Golugwa
10. John Heche
11. Brenda Rupia
Mwanasiasa na Mbunge wa zamani wa Iringa Mjini Mch. Peter Simon Msigwa, amesema ufanisi wa tume yoyote ya uchunguzi unategemea kwanza uhalali na imani ya wananchi katika mchakato unaoanzishwa, akisema uchunguzi unaojengwa juu ya msingi usioaminika unaweza kushindwa kutoa majibu yanayokubalika kwa jamii.
Msigwa amesema uchunguzi wenye msingi dhaifu unaweza kuzaa tafsiri isiyo sahihi ya changamoto husika, hali ambayo baadaye huathiri matumizi ya maarifa yatakayopatikana na utekelezaji wa mapendekezo ya tume hiyo.
โUchunguzi duni huzaa tafsiri duni. Tafsiri duni huzaa matumizi duni ya maarifa. Matumizi duni huzaa utekelezaji duni. Na utekelezaji duni huzaa matokeo duni,โ amesema Msigwa.
Akizungumzia mchakato wa tume ya uchunguzi ya Rais, Msigwa amesema suala kubwa linalopaswa kuangaliwa ni namna mchakato huo unavyojenga imani kwa wadau mbalimbali, hasa wale wenye mitazamo tofauti ya kisiasa.
Amesema baadhi ya wananchi waliwahi kuhoji uhalali wa Tume ya Jaji Chande kutokana na kile alichodai kuwa kulikuwa na upungufu wa imani kwa baadhi ya wadau, hivyo akatahadharisha kuwa kujenga mchakato mpya bila kuzingatia changamoto hizo kunaweza kuendelea kuzalisha mashaka katika jamii.
โEndapo tume ya uchunguzi ya Rais itajengwa juu ya misingi ileile inayoonekana kuwa na kasoro, ni vigumu kwa wengi kutarajia matokeo tofauti,โ amesema.
Msigwa ameongeza kuwa kwa sehemu ya wananchi wanaounga mkono upinzani, hususan wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), matarajio ya kuona mabadiliko ya kweli yanaweza kuwa madogo ikiwa hawataona mchakato huo ukiwa na viashiria vya uhuru, uwazi na ushirikishwaji.
Amesema suala la msingi siyo tu majina ya wanaounda taasisi au tume, bali ni namna mchakato mzima unavyojengwa na kiwango cha uaminifu unaoweza kuibua kwa wananchi.
โHistoria hutufundisha kwamba taasisi hazijengi imani kwa majina yake, bali kwa uhalali wa mchakato wake. Msingi ukikosa kuaminika, hata jengo linalojengwa juu yake litakabiliwa na swali lilelile la uhalali,โ amesema.
Msigwa amesisitiza kuwa uchambuzi sahihi wa historia na mazingira ya kisiasa ni muhimu kabla ya kutoa majibu ya changamoto kubwa za kitaifa, akisema tafsiri isiyo sahihi ya tatizo inaweza kusababisha suluhisho lisilokidhi matarajio ya jamii.
VIDEO:
Mtangazaji maarufu wa masuala ya siasa nchini, Chief Odemba @chiefodemba amehitimu mafunzo ya siasa na uongozi kwa vijana yaliyofanyika nchini Marekani kupitia mpango wa kimataifa wa International Visitor Leadership Program (IVLP), unaoratibiwa na Serikali ya Marekani. Mafunzo hayo yaliwakutanisha viongozi vijana na wataalamu kutoka mataifa mbalimbali duniani kwa lengo la kubadilishana uzoefu, kujifunza mbinu bora za uongozi na kuimarisha ushirikiano wa kimataifa.
Katika kipindi cha mafunzo hayo, Chief Odemba alitembelea taasisi mbalimbali muhimu nchini Marekani ikiwamo Seneti ya Marekani jijini Washington, D.C., ambapo alishiriki mijadala kuhusu demokrasia, utawala bora, maendeleo ya vijana, ushiriki wa wananchi katika mchakato wa uamuzi, pamoja na nafasi ya viongozi vijana katika kujenga jamii zenye uwajibikaji na maendeleo. Mafunzo hayo pia yalitoa fursa ya kujenga mtandao wa ushirikiano na washiriki kutoka mataifa mbalimbali Duniani.
Odemba amesema maarifa, uzoefu na mtandao wa uhusiano alioupata vitakuwa msingi muhimu wa kuendelea kuelimisha na kuwahudumia Watanzania kupitia vipindi vyake vinavyojikita katika masuala ya siasa. Aidha, Odemba alitumia nafasi hiyo kuwaalika washiriki wenzake kuja Tanzania kutembelea vivutio vilivyopo Tanzania.
Leo amezaliwa Mh. John Heche tuungane kumtakia maisha marefu.
Happy birthday John Heche.
CHANGIA SASA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Mpaka asubuhi hii Watanzania wamekichangia Chama chao ( CHADEMA) Milion 20.
Lengo kuu ni kupata Milioni 334 ndani ya siku 63.
#FreeTunduLissu#KatibaMpya
๐จLEO TUNAAMKA NA HABARI KUBWA ANZA KWA KUREPOST.
COMMONWEALTH MINISTERIAL ACTION GROUP
WAMETOA RATIBA YA HATUA ZA UTEKELEZAJI KWA TANZANIA NDANI YA SIKU 30, 60 NA 90
Pamoja na mambo mengine Serikali haram ya Nduli Idd Amin Mama imepewa siku 30 iwe imetatua suala la kuzuiliwa kwa Mhe. @TunduALissu kupitia njia ya kisiasa na kisheria lakini pia kuwaachilia huru watu wengine wote wanaoshikiliwa kwa sababu tu ya kutumia haki zao za msingi kwa njia ya amani.
Ndani ya siku 60 wameambiwa warejeshe upatikanaji kamili wa majukwaa ya kidijitali (digital platforms) kusitisha vitendo vya vitisho na unyanyasaji dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.
Ndani ya siku 90 wahakikishe waitishe jukwaa la kuaminika na shirikishi la mashauriano kati ya vyama vya siasa, likiwa na wawezeshaji wasioegemea upande wowote yani Jukwaa hilo liwe na mamlaka ya kujadili na kukubaliana kuhusu marekebisho ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, suala la watu waliowekwa kizuizini na uwajibikaji.
Lakini pia wametoa Onyo la Septemba 2026 kwamba Tanzania imeamriwa kuwasilisha ripoti ya utekelezaji wa mambo hayo kabla ya mkutano maalum utakaofanyika Septemba 2026.
Onyo la Novemba 2026 (Hatua Kali): Jumuiya ya Madola imetoa onyo la mwisho kwamba isipoona maendeleo yoyote kufikia Novemba 2026, itachukua hatua kali zaidi dhidi ya Tanzania (ambayo kwa sasa tayari ipo chini ya uangalizi kwenye Agenda Rasmi
Acha kuendelee kuwaka.
TUTAKUWEPO๐ซต๐พ๐
Wananchi wanahasira hawataki Makam wao John Heche aguswe, wanasema ukimgusa watalala na wewe mbele maana kwasasa kiu yao kubwa ni Mabadiliko na katika kuyasaka mabadiliko hayo mpaka sasa HECHE anatuongoza vema.
Wale wote ambao mlikuwa mnawiwa kuonyesha Solidarity kwa kumchangia chochote Mhe. Heche kasema anaomba badala ya kumpa yeye mkichangie CHAMA ili kiweze kuitisha kikao cha BARAZA KUU.
CHANGIA SASA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo