KIGOMA: DIWANI WA KATA YA GWARAMA ADAIWA KUKAMATWA NA JESHI LA POLISI
- Taarifa zinadai Diwani Elia F. Michael amekamatwa akiwa katika eneo la wazi kwenye Kata yake
- Imeelezwa alikuwa amepanga kuzungumza na Wananchi
Soma => https://t.co/NRgBq5OSrJ
#JFLeo
#ChangeTanzania#Justice4Azory : Wito kushinikiza usalama wa wanahabari kazini na haki ya Azory Gwanda .... Tafadhali weka sign yako kuisaidia familia ya Azory na wanahabari kwa ujumla.. Watanzania tuna wajibu wa kulinda wana habari https://t.co/fWlquAebzB
Kwanini Utawala ambao umesagasaga vyama vya upinzani unaoogopa ukosoaji kwa kiwango hiki? Kwanini Rais anayesemwa kuungwa mkono sana na umma anaogopa ushindani wa kisiasa? Haya sio ya Tanzania. Ni ya Russia, Vladmir Putin
MBEYA: Naambiwa huu moto umezuka leo na kuteketeza zaidi ya hekari 11 za shamba la ngano la Chuo cha Kilimo Uyole, chanzo kikisemwa ni kijana mmoja aliyekuwa akivuta sigara ktk eneo hilo.
Hivi tutumie nyenzo gani kudhibiti majanga kama haya yakitokea?
Poleni ndg waathirika. 😭
@FranceTanzania nyie wenzetu mnakula mtori tu, hamjui kuwa Mwanahabari #ErickKabendera anashikiliwa leo siku ya 13?.... Mpo kimya tu?... Semeneni neno lolote na Mtumishi wenu ataridhika, turning back to France revolution and democratization processes.
#FreeeErickKabendera
Musiba apambane na Wamarekani na Waingereza kama anaweza. Asitunge na kusambaza uongo dhidi ya watu wengine. Kauli zake ni mwendelezo wa mradi wa 'magulio' ya uongo na uzushi dhidi ya watu tofauti akijificha kwenye kivuli wa uanaharakati huru. Kauli zake ni hatari kwa taifa.
Ni hatari sana kuwa na vijana wanaotegemea kufurahisha mtu ili wapate kuteuliwa..... sisi sio kisiwa, hatuishi peke yetu duniani. Sheria za nchi ziko wazi mtu anakamatwa amebadilishiwa mashitaka zaidi ya mara nne, amewekwa ndani zaidi ya mda wa kisheria. Haya ni mambo ya ndani!!
Zoezi la uokoaji linaendelea eneo la Msamvu mkoani Morogoro, ambapo mapema leo asubuhi gari la mafuta ya petroli limewaka moto na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 50. #KwanzaHabari
Huyu mzee wakati yupo hospital Uingereza nilikua na miaka 8.
Kwenye sala ya usiku kabla kulala tulimuombea apone haraka.
Nimekua nikumfuatulia JK Nyerere, hakika Mungu alitubariki sana kwa kiongozi huyu.
Bahati mbaya alizungukwa na wanafiki.
Kutana na Mbunge Mwenye PhD ya Diplomasia-Elibariki Kingu.😁😭
Kingu unafahamu US na UK ni kati ya nchi tano zinazounda Baraza la Ulinzi na Usalama la Dunia? Au tuseme mahaba yako kwa Utawala 'bandidu' wa JPM yamekufutia akili na utashi wa kiuongozi na Utanzania?
BALANCE SHOBO!
Kuna sheria mbalimbali kama vile Sheria ya Huduma za Habari ya 2016, Sheria ya Makosa ya Mtandao ya 2015, Sheria ya Tawala za Mikoa ya 1997, Sheria ya Takwimu ya 2015 ambazo kwa kiasi kikubwa zimekuwa zikiminya #UhuruWaKujieleza#ChangeTanzania
Ibara ya 18 yaKatibaya Jamhuri yaMuungano waTanzania inatoa hakiya uhuruwa mawazo na kujieleza na haki ya kutafuta, kupokea na kusambaza taarifa. #ChangeTanzania#UhuruWaKujieleza.