@mshambuliaji Unapenda kujificha kwenye kivuli neno la Mungu hali ya kuwa MUNGU mwenyewe anatuamrisha tukatazane mabaya kuamrisha yalomema usimsingizie MUNGU wasome mitume walikuweje nyakat za uongozi wao walikuwa tabia gan kwa umma
@Ntobi70 @MrNdikwegha @Charllote100 Jamaa hakufanya kitu kizuri angemuacha na afya yke ila usifananishe usaliti wa mwanaume na mwanamke hatuko sw kimaumbile